Nina mashaka na akili za Watanzania wanaomshabikia Polepole

Nina mashaka na akili za Watanzania wanaomshabikia Polepole

Polepole anasema hayo yote na samia anausika maana ndo alikuwa msaidizi wa raisi kwa muda ule
 
Uko sahihi, kumbe sasa unaumia nini watu wakimsikiliza na kumsapoti POLEPOLE? Wewe kama unaona samia ni jembe, usitake wengine wasitoe mawazo yao juu yake kama wewe unavotoa maoni yako! Kila mtu aishi anachokiona ni sahihi kwake.
Kama una mawazo ya kipumbavu lazima uambiwe
 
Nenda kamtoe, umuweke bwana'ako lissu.
Ukweli ni kuwa nyie haters wa Samia, mostly nyumbu wa lissu na vifuasi vichache visivyo na akili vya mwendazake, ndiyo mliofeli.....tena mmefeli kwa aibu kabisa. Mifano ya kufeli kwenu ipo mingi tu, tangu jitihada za asiapishwe mpaka Sasa.
Sawa dr. Wa ma sami! Tunawasubiri na huyo roboti wenu mnaemtafutia urais kwa nguvu! Aibu kubwa sana hii, eti anashindana na salumu na mpina! Hah hah hah nacheka kwa dharau!
 
Kama una mawazo ya kipumbavu lazima uambiwe
Ila wewe ndio una mawazo yenye akili sio? Usinipigie makelele hapa kama redio iliopoteza frequency! Kama unajiona una akili usingekua unahangaika humu kutetea upumbavu unaofanywa waziwazi na washenzi wenzio!
 
Kama una matatizo ya akili lazima uambiwe
 
Na mimi nina mashaka na wewe unaemshabikia mtu ambae watu wanatekwa na kuuliwa kinyama, anasema ni viji drama, kifo ni kifo, anaita wakosoaji mbwa wapumbavu! Jitathmini akili zako ndugu! Unaona kina Gwajima wamejificha mpaka leo na kanisa lake waumini wamezuiliwa haki ya kuabudu! Lissu anafungwa bila sababu za msingi na mahakama imegeuka ukumbi wa maigizo! Toeni hizi kelele zenu mnazopiga utadhani huyo mnampigania anafanya la maana, kama si kushibisha matumbo yenu!
Uwe unatabia ya kusoma kwanza. Wapi amemshabikia mtu. Kwanini mnapenda kukurupuka? Yani nyie kila wimbo unaopigwa mnacheza kama misukule yani.
 
Uwe unatabia ya kusoma kwanza. Wapi amemshabikia mtu. Kwanini mnapenda kukurupuka? Yani nyie kila wimbo unaopigwa mnacheza kama misukule yani.
Umefatilia tulikoanzia mzee? Au umbea unakuwasha kama upele!
 
Cha msingi hapa ni katiba mpya tu hakuna lingine mambo ya ccm ni yaleyale hata wakimwaga oil kiasi gani
naunga mkono hoja
,reforms zinatakiwa zifanyike za ki taifa sio kubadilisha jina la mgombea pekee wakati mfumo wa wahuni ni uleule ,hata ukibadilisha jina la mgombea bado atamezwa na mfumo uleule wa wahuni .Hata asipomezwa na mfumo kama akawa kinyume na mfumo bado atakuwa na maadui wengi wa ndani na nje ambapo usalama wake unakuwa hatarini na anakuwa anahujumiwa kutoka ndani na nje.

Muarobaini pekee SULUHISHO LA KUDUMU ni KATIBA MPYA ,reforms za tume ya uchaguzi.
MABADILIKO YA KUDUMU ya katiba mpya na reforms za uchaguzi,ambazo zitatua changamoto zote hata akija kiongozi wa aina gani atabanwa na katiba ,
 
Sawa dr. Wa ma sami! Tunawasubiri na huyo roboti wenu mnaemtafutia urais kwa nguvu! Aibu kubwa sana hii, eti anashindana na salumu na mpina! Hah hah hah nacheka kwa dharau!
Yaani nyie mafala kweli na polepole wenu. Mtajua kuwa hamjui maanina; we Cheka tu vile vicheko vyenu mnavyovitoa mkiwa ndani ya vijora.
 
Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Mmmh! Na mm nimepatwa na mashaka na akili yako aise.
 
Yaani nyie mafala kweli na polepole wenu. Mtajua kuwa hamjui maanina; we Cheka tu vile vicheko vyenu mnavyovitoa mkiwa ndani ya vijora.
Oyaa kama nakuumiza vaa uende zako! Sio lazima, maana unavozidi kubana utachubuka! Sepaaaaaaaaa
 
Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Usihangaike na watu ambao wanaishia Kwa matukio ya leo bila kukumbuka walikotoka.
 
Back
Top Bottom