Uko sahihi, kumbe sasa unaumia nini watu wakimsikiliza na kumsapoti POLEPOLE? Wewe kama unaona samia ni jembe, usitake wengine wasitoe mawazo yao juu yake kama wewe unavotoa maoni yako! Kila mtu aishi anachokiona ni sahihi kwake.kazi ya Urais haiwezi hiyo ni kwa mujibu wako wewe na sababu zako,hata jiwe wengine walikuwa wanamuita Dikteta uchwara na hawezi kuongoza nchi.
So,it depends na matarajio yako,kwa wengine samia ni best president na mungu akipenda oktoba wanaenda kutick.