Nina mashaka na akili za Watanzania wanaomshabikia Polepole

Nimempenda Samia ameonesha she is strong president nchi imetulia walitaka kumjaribu hao wanaharamu. Ningeshangaa na kusikitika angemwachia Gwajima, hv kwa aliyokuwa anayafanya yule tapeli leo tungekuwa wapi. Mtu anamtukana Rais wetu? Amiri jeshi mkuu wetu? Nchi ya wapi hiyo? Tafuteni nchi ya namna hiyo mkaishi
Alimtukana au alimwambia ukweli?
 
Le
Kwahiyo tuendelee kufurahia utekaji eti kwasababu aliyeasisi ni Magufuli? rubish kabisa.
Lete upumbavu wako unapotezwa dakika ni nyingi. Tulia fanya shughuli zako kwa kutii sheria za nyingi, polisi utamwona rafiki yako mkubwa
 
Ona ulivyo na akili za kifala,nikazuie lisu asipigwe risasi?we huoni mmesababisha awe na ulemavu wa kudumu na siasa zenu za kishamba na huyo jiwe wenu?

Samia kawafanyia nini hadi muwe na chuki kwake.

Reforms nyingi zimefanyika ila bado.mnajitoa ufaham.
Unaejitoa ufahamu ni wewe unaetaka tusimkosoe samia sababu eti wengine pia waliowahi kuwa marais walikosea! Sasa sababu una kipaji cha UPUMBAVU kazana kuona samia wako ni malaika! Ila ukweli lazima usemwe samia ni Dhaifu saaaaaana! Ninaposema ni dhaifu nina maanisha majukumu ya kuongoza nchi hayamudu hata kwa 20% alipata bahati tu ila kazi hawezi! Lissu anaendelea mbele kumpelekea moto samia na vinyago wake alishaachana na mambo 2017 sababu anajua nchi inataka nini leo! Wewe na ujinga wako unadhani kila mtu hajielewi anaposema samia ni failed president baki hapohapo!
 
Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Watanzania wana mashaka na utimamu wa afya ya ubongo wako.....Tanzanians decided....period
 
Mlitegemea angekuwa dhaifu kwa kuwa ni mwanamke? Rais ni Rais we bwege uliojaa kinyesi kichwani. Serikali hakuna wa kuweza kuichezea duniani kote, Kenya si mlisema sijui GenZ wako wapi sasa. Huwezi chezea masharubu ya serikali utapotezwa kwa maslahi ya wengi hiyo ni kawaida. Eti mara tutafanya nchi isitawalike mara tutakinukisha, wapi utanuka wewe
Samia ni failed president sio sababu ya uanamke wake! Ni failed sababu hajui maana ya kuwa rais mpaka sasa! Na hii ina ushaidi mwingi namna anavokabiliana na changamoto kwenye uongozi wake,! Hio serikali unayosema haiwezi kchezewa ni serikali ya nani? Wananchi au ya samia na marafiki zake? Sisi ndio wananchi na serikali ni ya kwetu na samia hafai kutuongoza sasa!
 
Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Ameokoka sasa ,ulitaka afe na dhambi zake
 
Hahaha huyu mamaA ndiye chura kiziwi au unamuongelea yupi?

Wewe ndiye A au mtoto wa mama mdogo?
Ila inauma ee mama anavyowapelekesha, uongo?!! Ndo mambo, tulieni labda 2060 lissu nae ataingia madarakani.
 
Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Samia unamtenganishaje na hawamu ya Magufuli?????????
 
Jibuni hoja za Balozi mstaafu Polepole sio kuja na kufananisha awamu

Kapiga kwenye mshono mnatapatapa
 
Unamtaja Polepole kwani awamu ya 5 kilikuwepo chama gani?

Samia hakuwemo kwenye serikali hiyo?
 
Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Hata mimi ninamashaka makubwa kabisa na wewe hasa ufanisi wabakili yako maana huoni uchungu wa watanganyika wenzio kutekwa na kuuawa kikatili kabisa
 
Mtoa hoja jaribu kuandika ukiwa sawaaa. Pole pole keshajibu tuhuma zote unazozisema wewe. Na kaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa hata yeye ni mhanga wa jaribio la kutekwa.
Aidha kuzungumza kwake hajasema yeye ni Malaika au msafi kama unavyosema wewe. Watu wotu tu wachafu ndio maana kila siku tunatubu na kuomba msamaha ili maisha yaende.

Zaidi sana katika utawala wa awamu ya Tano, wapo viongozi waliokuwa Seniors zaidi yake ndani ya Chama na Serikalini pia. Mbona hao huwasemi? Mbona huwakosoi? Kwa maana hayo unayomtuhumu nayo Pole pole kuwa alishiriki kuyafanya wakati ule ndio yanaendelea kwa sasa Tena kwa kipimo kikubwa zaidi. Mbona husemi? Yupi bora kati ya hao na Polepole. Huyu kajitokeza kukosoa na kutoa ushauri na hawa waliokaa kimya na mambo yanaenda ndivyo sivyo?? Th
 
Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Hiyo video samia alikuwa ni nani kipindi hicho?
Mwaka huu mtajamba cheche
 
Matako yako idiot, mulimuuwa Magufuri
 
Kifupi ccm imeoza... Ndo maana comedy zinaendelea
Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
 
Samia ni failed president sio sababu ya uanamke wake! Ni failed sababu hajui maana ya kuwa rais mpaka sasa! Na hii ina ushaidi mwingi namna anavokabiliana na changamoto kwenye uongozi wake,! Hio serikali unayosema haiwezi kchezewa ni serikali ya nani? Wananchi au ya samia na marafiki zake? Sisi ndio wananchi na serikali ni ya kwetu na samia hafai kutuongoza sasa!
Nenda kamtoe, umuweke bwana'ako lissu.
Ukweli ni kuwa nyie haters wa Samia, mostly nyumbu wa lissu na vifuasi vichache visivyo na akili vya mwendazake, ndiyo mliofeli.....tena mmefeli kwa aibu kabisa. Mifano ya kufeli kwenu ipo mingi tu, tangu jitihada za asiapishwe mpaka Sasa.
 
Jaziba zote za Nini?? Matusi ya Nini? Tuzungumze kwa hojaaa
 
Uhuni ndani ya CCM hautakiwi - ni LAZIMA tufuate katiba ya chama, kanuni, taratibu na tamaduni zetu - tumefanya hivyo toka 1977 sasa kwa nini leo.

Ewe mwana CCM jitenge na WAHUNI... mchakato wa kumoata mpepereusha bendera 2025 ni LAZIMA urudiwe upyaaaaa!!
 
Back
Top Bottom