Nina mashaka na akili za Watanzania wanaomshabikia Polepole

Uko sahihi, kumbe sasa unaumia nini watu wakimsikiliza na kumsapoti POLEPOLE? Wewe kama unaona samia ni jembe, usitake wengine wasitoe mawazo yao juu yake kama wewe unavotoa maoni yako! Kila mtu aishi anachokiona ni sahihi kwake.
 
Watu kupotea hawaajaanz zama hizi za samia kias nyinyi mfikie hatua ya kushika mabango na kuimba mapambio..

Kiongozi dhaifu kwa kuwa mna uhuru sasa wa kuongea mtakavyo,kikwete pamoja na mengi kafanya nchi hii mlisema hivi hivi kuwa ni dhaifu ana penda kucheka cheka,alikuja jiwe kila mtu alitamani kuhama nchi hapa.

Ni wepesi sana wa kusahau kama kuku.

Nchi iko salama chini ya samia,msituletee uchuro wenu nyinyi.
 
Kwa kifupi chadema hawajawahi kuwa na akili..... yenyewe ipo ipo tu na mihemko yao ya kishamba.
 
Ni lini aliwahi kutoka hadharani akakemea huo utekaji na mauaji?
 
Uko sahihi, kumbe sasa unaumia nini watu wakimsikiliza na kumsapoti POLEPOLE? Wewe kama unaona samia ni jembe, usitake wengine wasitoe mawazo yao juu yake kama wewe unavotoa maoni yako! Kila mtu aishi anachokiona ni sahihi kwake.
Ndiyo hivyo,asitokee mtu akajiona yeye ni bora kama alivyo fala pole pole mnaemshangilia anaesema samia asigombee uraisi kwa sababu anazozijua yeye.

Na Samia hawezi kuacha kugombea kwa kusikiliza kelele za mafala
 
Nina mashaka na Akili za mtoa Uzi anayempinga Polepole, bila kuwa na hoja za msingi!!
 
Hahaha alafu unaona sawa wale wanaomsifia Samia, Kikwete na Wana mtandao?!
 
Kati ya polepole na samia nani alikua karibu zaidi na Magufuli hicho kipindi?
 
Polepole ni mnafiki fulani hivi.Ni tapeli la kisiasa
 
Kua na akili basi ndugu,! Nimesema mambo mabaya ya zamani hatuyajadili sasaivi, ilianza lini, alifanya nani na ilikua lini sio hoja za kutufanya tusijadili udhaifu wa samia kama rais ambae yuko madarakani leo! Tuko 2025 kumbuka sio 1995!
 
Ni lini aliwahi kutoka hadharani akakemea huo utekaji na mauaji?
Ukitaka atoke mara ngapi?na hiyo inajustify nini kwa hilo unalosema?

Hizo chuki zenu mtakufa nazo tuh,samia ni mpango wa mungu kama ilivyokawa kwa jiwe,na kuondoka kwake ni hadi mungu atake,na siyo kwa matakwa ya waganga na wapiga ramli.
 
Sahihi kabisa
 
Iwapo unashangaa wa upande wa slow slow na unashabikia upande wa manyasi kijani uwahishwe mirembe tena bila kukosa wala kucheleweshwa!
 
Ndiyo hivyo,asitokee mtu akajiona yeye ni bora kama alivyo fala pole pole mnaemshangilia anaesema samia asigombee uraisi kwa sababu anazozijua yeye.

Na Samia hawezi kuacha kugombea kwa kusikiliza kelele za mafala
Sasa washenzi kama nyie ambao mnadhani hii nchi ni ya kikundi cha watu hamtusumbui vichwa mwisho wenu umefika, MAGEUZI MAKUBWA YANAKUJA! jiandae kisikolojia, hatuwezi kuwa wote kama misukule ili mradi tu!
 
Ukitaka atoke mara ngapi?na hiyo inajustify nini kwa hilo unalosema?

Hizo chuki zenu mtakufa nazo tuh,samia ni mpango wa mungu kama ilivyokawa kwa jiwe,na kuondoka kwake ni hadi mungu atake,na siyo kwa matakwa ya waganga na wapiga ramli.
Waganga kama wale aliowafata mwanza au? Hajawahi kuwa mpango wa Mungu huyo, ni mpango wa wanamtandao.
 
Hakuna mmankonde mshamba sijui wewe umetokea MTWARA sehemu gani ....kusini hakuna Fala wewe utakuwa sio chinga , huwezi kuona watu wa kusini wanashabakia upumbavu

Wewe ni fala
 
Kua na akili basi ndugu,! Nimesema mambo mabaya ya zamani hatuyajadili sasaivi, ilianza lini, alifanya nani na ilikua lini sio hoja za kutufanya tusijadili udhaifu wa samia kama rais ambae yuko madarakani leo! Tuko 2025 kumbuka sio 1995!

We fala kweli yani,unaangalia unapoangukia badala ya kuangalia ulijikwaa wapi?

Mambo ya zamani hayo unayosema ni lini.?kwani lisu alipigwa risasi lini?hawa jamaa ndugai waligoma lini kugoma kumlipa posho zake na matibabu yake lini,si ni hivi karibuni tuh?

Na samia kaja kumlipa stahiki zake lini,si ni hivi majuzi tuh?

Sasa wewe na mafala wenzako unasema hutaki kuangalia mambo ya zamani ili iweje.?

Mna akili za kuku ndiyo maana mafala kama pole pole wanawatumia kama toilet paper
 
Nasemaje CCM inajichimbia kaburi yenyewe unaporundika watu wa itikadi tofauti sehemu moja tegemea , mpasuko
 
Kama ambavyo tuna mashaka na akili ya machawa wa samia. Shame on you too.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…