Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Yes,Yeye anajinasibu kuwa ni mjuvi wa mambo ya sheria. Na anadegree ya sheria toka SAUT.
Lakini kwa mahojiano aliyofanya na mwandishi mmoja wa habari. Kwanza anajikanyaga kanyaga. Hajui vifungu ni aibu tupu.
View attachment 3634836
Wewe mwenyewe ni kahaba wa CCMYes, ukahaba haujakatazwa kwenye Sheria ya Penal Code ya mwaka 1939 lakini kuna Sheria, Kanuni na Miongozo ipo miongozo mbalimbali inayakataza biashara ya Ukahaba labda kama itaruhusiwa CHADEMA watakapochukua Nchi mwaka 2445
Huyo kama walivyo wenzake wengi kwenye siasa ni wateja wazuri.Yeye anajinasibu kuwa ni mjuvi wa mambo ya sheria. Na anadegree ya sheria toka SAUT.
Lakini kwa mahojiano aliyofanya na mwandishi mmoja wa habari. Kwanza anajikanyaga kanyaga. Hajui vifungu ni aibu tupu.
View attachment 3634836
Biashara yao mitandaoni Wewe Kaka Katambi ? Utafuatilia hiii Biashara utaweza? Watu wana request tu bila kwenda barabarani au kwenye Mabaa.Yeye anajinasibu kuwa ni mjuvi wa mambo ya sheria. Na anadegree ya sheria toka SAUT.
Lakini kwa mahojiano aliyofanya na mwandishi mmoja wa habari. Kwanza anajikanyaga kanyaga. Hajui vifungu ni aibu tupu.
View attachment 3634836
Huyu ni kilaza tu ndiyo maana alikubali kununuliwa kama bidhaaYeye anajinasibu kuwa ni mjuvi wa mambo ya sheria. Na anadegree ya sheria toka SAUT.
Lakini kwa mahojiano aliyofanya na mwandishi mmoja wa habari. Kwanza anajikanyaga kanyaga. Hajui vifungu ni aibu tupu.
View attachment 3634836
Amerudi alikotoka the guy Employed as a Tanzania Intelligence Security Service (TISS) Political Desk! So wakati Yuko CHADEMA Alikua yupo kwenye kituo chake cha Kazi Wakili Patrobas Katambi.Huyu ni kilaza tu ndiyo maana alikubali kununuliwa kama bidhaaView attachment 3634869
Waziri ajikite na mambo ya msingi aache kufuatilia mbunye za watu.Yes,
wanunuzi hao wa ngono wawe exposed publicly na itapendeza zaidi 🐒
Maybe the mazafaka graduated at the bottom of his class!Yeye anajinasibu kuwa ni mjuvi wa mambo ya sheria. Na anadegree ya sheria toka SAUT.
Lakini kwa mahojiano aliyofanya na mwandishi mmoja wa habari. Kwanza anajikanyaga kanyaga. Hajui vifungu ni aibu tupu.
View attachment 3634836
Vyovyote itakavyokuwa, je, hiyo ndo kazi ya waziri wa mambo ya ndani?Yes, ukahaba haujakatazwa kwenye Sheria ya Penal Code ya mwaka 1939 lakini kuna Sheria, Kanuni na Miongozo ipo miongozo mbalimbali inayakataza biashara ya Ukahaba labda kama itaruhusiwa CHADEMA watakapochukua Nchi mwaka 2445
Sasa kwenye sheria kuna specialisation nyingi
- kuna Contracts
-Criminal Law
-Litigation
-Land
-Taxation
- e.t.c
Sasa Katambi anaweza kuwa kabobea labda kwenye International Lawa au contracts siyo kosa kuijuia Penal Code