Nina mashaka na degree ya Patrobas Katambi. Kwenye Penal code hakuna kifungu kinachokataza ukahaba

Nina mashaka na degree ya Patrobas Katambi. Kwenye Penal code hakuna kifungu kinachokataza ukahaba

Amerudi alikotoka the guy Employed as a Tanzania Intelligence Security Service (TISS) Political Desk! So wakati Yuko CHADEMA Alikua yupo kwenye kituo chake cha Kazi Wakili Patrobas Katambi.
Wakili labda wa mavi! Uwakili alidisco huyo.
 
Yeye anajinasibu kuwa ni mjuvi wa mambo ya sheria. Na anadegree ya sheria toka SAUT.

Lakini kwa mahojiano aliyofanya na mwandishi mmoja wa habari. Kwanza anajikanyaga kanyaga. Hajui vifungu ni aibu tupu.

View attachment 3634836
English ya jamaa utacheka sana.
Niliwahi kukutana naye akiwa naibu waziri wa bunge na uratibu, hiyo english yake ilibdi niiname chini
 
Yes, ukahaba haujakatazwa kwenye Sheria ya Penal Code ya mwaka 1939 lakini kuna Sheria, Kanuni na Miongozo ipo miongozo mbalimbali inayakataza biashara ya Ukahaba labda kama itaruhusiwa CHADEMA watakapochukua Nchi mwaka 2445

Sasa kwenye sheria kuna specialisation nyingi
- kuna Contracts
-Criminal Law
-Litigation
-Land
-Taxation
- e.t.c
Sasa Katambi anaweza kuwa kabobea labda kwenye International Lawa au contracts siyo kosa kuijuia Penal Code
Reply yako imefumbiwa macho sababu ikiguswa inafunga mjadala wa uzi
 
Back
Top Bottom