Nina mashaka na degree ya Patrobas Katambi. Kwenye Penal code hakuna kifungu kinachokataza ukahaba

Amerudi alikotoka the guy Employed as a Tanzania Intelligence Security Service (TISS) Political Desk! So wakati Yuko CHADEMA Alikua yupo kwenye kituo chake cha Kazi Wakili Patrobas Katambi.
Wakili labda wa mavi! Uwakili alidisco huyo.
 
Yeye anajinasibu kuwa ni mjuvi wa mambo ya sheria. Na anadegree ya sheria toka SAUT.

Lakini kwa mahojiano aliyofanya na mwandishi mmoja wa habari. Kwanza anajikanyaga kanyaga. Hajui vifungu ni aibu tupu.

View attachment 3634836
English ya jamaa utacheka sana.
Niliwahi kukutana naye akiwa naibu waziri wa bunge na uratibu, hiyo english yake ilibdi niiname chini
 
Reply yako imefumbiwa macho sababu ikiguswa inafunga mjadala wa uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…