Nina. mashaka na Huu utabiri wa TMA, mbona Kila siku wanarusha tarehe mbele..?

Kwa hiyo ungependa itokee? Watanzania tumekuwa wapumbavu sijui shida iko wapi kila kitu ushabiki hata visivyo na maana, kuna mashirika chungu nzima ya utabiri wa hali ya hewa duniani kwanini usiwasikilize wengine kama TMA una mashaka nao?
 
We ndo mpumbavu pro mana hata mada hujaielewa unaanza kuropoka.
 
Kwa hiyo ungependa itokee? Watanzania tumekuwa wapumbavu sijui shida iko wapi kila kitu ushabiki hata visivyo na maana, kuna mashirika chungu nzima ya utabiri wa hali ya hewa duniani kwanini usiwasikilize wengine kama TMA una mashaka nao?
Hatupendi itokee.
Mfano mimi kuna jambo la muhimu nimeahirisha kwa kuhofia elnino. Huoni kama isipokuja watakuwa wamenilostisha?
 
Probability of an Event (PE)
1791969181965.png
 
mambo mengine bhana wewe mwenyewe umeandika "utabiri" halafu hapo hapo unasema una mashaka na utabiri, hivi hata unaelewa unachokiandika achilia mbali hata maana ya maneno unayayatumia? kuna sababu kwa nini inaitwa utabiri wa hali ya hewa, kutabiri ni kukisia ...
 
  • Thanks
Reactions: apk
Mkuu Elnino inatarajia kunyesha kuanzia mwezi wa saba mpaka January mwakani mwakani anytime itatandika na hii inatokana na mgandamizo mkubwa wa joto ambao haujawai kurekodiwa kwa mda mrefu kwenye bahari ya pacific inatarajiwa kuleta madhara makubwa kwenye mabara ya amerika na kwenye bahari ya hindi kuna baadhi ya mataifa tutakumbwa na hiyo rasharasha so tunaomba huo mgandamizo upoe kupunguza athari za mvua.
 
Haifai muulize baba yako ya 1997/1998 ilivyokua
Mimi mkazi wa dar Nina faida na jua zaidi kuliko mvua,so,swala hapa sio kufaa au kutokufaa,swala tunahitaji uhakika wa kila taarifa rasmi inayotolewa na serikali sio ramli,watu tunatumia hizo taarifa rasmi kubajeti hustle zetu!!!
 
Kwa hiyo ungependa itokee? Watanzania tumekuwa wapumbavu sijui shida iko wapi kila kitu ushabiki hata visivyo na maana, kuna mashirika chungu nzima ya utabiri wa hali ya hewa duniani kwanini usiwasikilize wengine kama TMA una mashaka nao?
Mkuu mbona hasira. Weww ni mfanyakazi TMA?
 
Kuambiana ni muhimu, Kusikilizana sio muhimu.
 
Attachments

  • Screenshot_20261014-122256.png
    Screenshot_20261014-122256.png
    875.2 KB · Views: 3
Kwa hiyo ungependa itokee? Watanzania tumekuwa wapumbavu sijui shida iko wapi kila kitu ushabiki hata visivyo na maana, kuna mashirika chungu nzima ya utabiri wa hali ya hewa duniani kwanini usiwasikilize wengine kama TMA una mashaka nao?
Akili za kibongo ni ubinifsi umezidi: hapo alipo anadhani kwa maandilizi yake hayo kamaliza akisubiri itokee ili wengine wateseke amini nakwambia mkuu
 
Back
Top Bottom