Jifunze kukaa Kwenye hoja we chawa wa mama,hiyo njaa ya 97/98 ilikuwa dar tu mikoani haikuwepo?elnino imetangazwa kutokea nchi nzima(hawajaspecify),kila mtu ametahadharishwa kuchukua hatua,so aliye Iringa,mwanza na kwingineko kila mtu kachukua za kwake kulingana mazingira yake na Mimi mkazi wa dar ninayetegemea jua Kwa shughuli zangu(sipendi mvua kabisa)nimechukua zangu unaita "brag",we huoni athari zinatukumba wote hapo?So unataka nchii hii tuishi Kwa ramli sio?we huoni athari zinaweza kuwa kubwa zaidi kama Kuna shida ya usahihi wa taarifa?!!!