Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 908
- 1,857
Bora isijeWakuu nina mashaka na huu utabili wa hewa mara wanarusha mbele tarehe..,
Unaweza ukauza vitu vyako.! Ununue msosi usubiri. Mara paap Wanarusha mbele..! Ngoja Tuone kama Wanasema ukweli au laa..
By mzigua_255
We ndo mpumbavu pro mana hata mada hujaielewa unaanza kuropoka.Kwa hiyo ungependa itokee? Watanzania tumekuwa wapumbavu sijui shida iko wapi kila kitu ushabiki hata visivyo na maana, kuna mashirika chungu nzima ya utabiri wa hali ya hewa duniani kwanini usiwasikilize wengine kama TMA una mashaka nao?
Hatupendi itokee.Kwa hiyo ungependa itokee? Watanzania tumekuwa wapumbavu sijui shida iko wapi kila kitu ushabiki hata visivyo na maana, kuna mashirika chungu nzima ya utabiri wa hali ya hewa duniani kwanini usiwasikilize wengine kama TMA una mashaka nao?
Sio kweli,utabiri lazima utokee ila ubashiri(betting)/kamari ndio sio lazima itokee!!!Ndiyo kanuni ya utabiri, kitu/jambo Kutokea au kutorokea.
Kwanini Bora isije?,Bora ije,Ili kila tahadhari tulizochokua zilete maana!!!Bora isije
Haifai muulize baba yako ya 1997/1998 ilivyokuaKwanini Bora isije?,Bora ije,Ili kila tahadhari tulizochokua zilete maana!!!
Mimi mkazi wa dar Nina faida na jua zaidi kuliko mvua,so,swala hapa sio kufaa au kutokufaa,swala tunahitaji uhakika wa kila taarifa rasmi inayotolewa na serikali sio ramli,watu tunatumia hizo taarifa rasmi kubajeti hustle zetu!!!Haifai muulize baba yako ya 1997/1998 ilivyokua
Mkuu mbona hasira. Weww ni mfanyakazi TMA?Kwa hiyo ungependa itokee? Watanzania tumekuwa wapumbavu sijui shida iko wapi kila kitu ushabiki hata visivyo na maana, kuna mashirika chungu nzima ya utabiri wa hali ya hewa duniani kwanini usiwasikilize wengine kama TMA una mashaka nao?
Huku kwenu ndio mnaita utabiri wa hali ya hewa kwa kuwa hamana uhakika na mnacho kifanya.Probability of an Event (PE)
View attachment 3690453
Akili za kibongo ni ubinifsi umezidi: hapo alipo anadhani kwa maandilizi yake hayo kamaliza akisubiri itokee ili wengine wateseke amini nakwambia mkuuKwa hiyo ungependa itokee? Watanzania tumekuwa wapumbavu sijui shida iko wapi kila kitu ushabiki hata visivyo na maana, kuna mashirika chungu nzima ya utabiri wa hali ya hewa duniani kwanini usiwasikilize wengine kama TMA una mashaka nao?