Una brag kukaa Dar kila kitu tunategemea Mikoani 1997/1998 kulikua na njaa sana na inflation Wapumbavu kama nyinyi mnaona Dar haiwezi kuathirika na ElininoMimi mkazi wa dar Nina faida na jua zaidi kuliko mvua,so,swala hapa sio kufaa au kutokufaa,swala tunahitaji uhakika wa kila taarifa rasmi inayotolewa na serikali sio ramli,watu tunatumia hizo taarifa rasmi kubajeti hustle zetu!!!
Wewe inaonesha una uelewa mdogo sana.Kwa hiyo ungependa itokee? Watanzania tumekuwa wapumbavu sijui shida iko wapi kila kitu ushabiki hata visivyo na maana, kuna mashirika chungu nzima ya utabiri wa hali ya hewa duniani kwanini usiwasikilize wengine kama TMA una mashaka nao?
Huku kwenu ndio mnaita utabiri wa hali ya hewa kwa kuwa hamana uhakika na mnacho kifanya.
Ulaya na mataifa yalio endelea ni HALI YA HEWA, hakuna mambo ya utabiri kama wa ganga wa jadi. Wakisema mvua inanyesa mvua inanyesha kweli hawana bla bla
Jifunze kukaa Kwenye hoja we chawa wa mama,hiyo njaa ya 97/98 ilikuwa dar tu mikoani haikuwepo?elnino imetangazwa kutokea nchi nzima(hawajaspecify),kila mtu ametahadharishwa kuchukua hatua,so aliye Iringa,mwanza na kwingineko kila mtu kachukua za kwake kulingana mazingira yake na Mimi mkazi wa dar ninayetegemea jua Kwa shughuli zangu(sipendi mvua kabisa)nimechukua zangu unaita "brag",we huoni athari zinatukumba wote hapo?So unataka nchii hii tuishi Kwa ramli sio?we huoni athari zinaweza kuwa kubwa zaidi kama Kuna shida ya usahihi wa taarifa?!!!Una brag kukaa Dar kila kitu tunategemea Mikoani 1997/1998 kulikua na njaa sana na inflation Wapumbavu kama nyinyi mnaona Dar haiwezi kuathirika na Elinino
The same to me mwezi November kuna kutoka duniani ilibidi nilipokee ilikuwa ni mtonyo wa maana wa kufungia mwaka ila wana asilimia kubwa ya kucancel, kwa sababu ni Wamarekani nimewashauri wafuatilie weather forecast ya Nasa haidanganyi.Hatupendi itokee.
Mfano mimi kuna jambo la muhimu nimeahirisha kwa kuhofia elnino. Huoni kama isipokuja watakuwa wamenilostisha?
Nchi nzima sasa ikipiga Mbeya, Rukwa, Iringa, Njombe, Songwe, Manyara, Tanga Arusha Kilimanjaro wewe wa Dar utanunua wapi Chakula ?Jifunze kukaa Kwenye hoja we chawa wa mama,hiyo njaa ya 97/98 ilikuwa dar tu mikoani haikuwepo?elnino imetangazwa kutokea nchi nzima(hawajaspecify),kila mtu ametahadharishwa kuchukua hatua,so aliye Iringa,mwanza na kwingineko kila mtu kachukua za kwake kulingana mazingira yake na Mimi mkazi wa dar ninayetegemea jua Kwa shughuli zangu(sipendi mvua kabisa)nimechukua zangu unaita "brag",we huoni athari zinatukumba wote hapo?So unataka nchii hii tuishi Kwa ramli sio?we huoni athari zinaweza kuwa kubwa zaidi kama Kuna shida ya usahihi wa taarifa?!!!
Kwanini huu ubinafsi unauweka upande Mmoja mkuu,vipi aliyejiandaa na kuitikia wito wa TMA/serikali,ikatokea mvua hizo zisitokee,huoni hasara za uchumi na muda Kwa huyu pia?mkumbuke anaelaumiwa kwenye hili sio masikini wa tajiri ila mamlaka husika,sasa Nyie mnawapiga majungu wenzenu badala ya kuuliza mamlakaAkili za kibongo ni ubinifsi umezidi: hapo alipo anadhani kwa maandilizi yake hayo kamaliza akisubiri itokee ili wengine wateseke amini nakwambia mkuu
Na ndio Maana tunahitaji taarifa sahihi,Mimi kutumia neno "dar" sababu ndio eneo nililopo,ningekuwa mwanza ningeongelea mazingira ya mwanza,sababu madhara ya sehemu Moja tu,yanaathiri nchi nzima hii,ndio Maana nimesisitiza kwenye uhakika wa taarifa zaidi kuliko kutokea au kutokutokea.Maana taarifa sahihi ndio inayotoa uelekeo wa kukabiliana na jambo,sasa mala wa 9,10,11,12 -- 2027,we huoni vurugu hapo?!!!Nchi nzima sasa ikipiga Mbeya, Rukwa, Iringa, Njombe, Songwe, Manyara, Tanga Arusha Kilimanjaro wewe wa Dar utanunua wapi Chakula ?
Kwa hiyo unataka litokee ili gharama zako ziende kihalali?Wewe inaonesha una uelewa mdogo sana.
Watu tumepangua na kuahirisha mambo kibao na kutumia pesa nje ya mpangilio ili kujikinga halafu hilo jambo iwe halipo.
Wewe unaona sawa tu.
Kuna mmoja anasema amehairisha mambo yako kwa hiyo anaona heri itokeee sasa hawajui kwamba majanga kama hayo hayana kujipangaAkili za kibongo ni ubinifsi umezidi: hapo alipo anadhani kwa maandilizi yake hayo kamaliza akisubiri itokee ili wengine wateseke amini nakwambia mkuu
Kama haitatokea watakuwa wametulostisha sana. Itabidi TMA watulipeThe same to me mwezi November kuna kutoka duniani ilibidi nilipokee ilikuwa ni mtonyo wa maana wa kufungia mwaka ila wana asilimia kubwa ya kucancel, kwa sababu ni Wamarekani nimewashauri wafuatilie weather forecast ya Nasa haidanganyi.
Siwalaumu TMA kwamba wamekosea utabiri wao la hasha ila nawalaumu kwa kuendekeza wanasiasa ,mambo ya utaalam ukaingiza siasa unaharibu na kuleta siasa kwenye maisha ya watu ni MAKOSA.Wakuu nina mashaka na huu utabili wa hewa mara wanarusha mbele tarehe..,
Unaweza ukauza vitu vyako.! Ununue msosi usubiri. Mara paap Wanarusha mbele..! Ngoja Tuone kama Wanasema ukweli au laa..
By mzigua_255