Uchaguzi 2020 Nina mashaka na idadi ya wapiga kura 2020

NEC Wanataka kupanga matokeo
 
Mkiambiwa Magufuli atapita kwa asilimia zaidi ya 90 wapinzani mnabisha.. Wapinzani mkitaka kupona na uchaguzi huu fanyeni namna data zihakikiwe tena. Mtu unaona data zimepikwa na matokeo anatangaza jecha bado unaingia kwenye uchaguzi tu.
 

Mkuu wamepitisha sheria mpyaa, mkuu wkaitoa ana hiyari ya kutoa au kutokutoa copy ya matokeo kwa wasimamizi wa vyama.
 
Idadi ya ambao wamejiandikisha ni milioni 29(kama nimekosea nirekebishwe) Idadi hii inaenda sambamba au kukaribiana na idadi ya watanzania halali wanao ruhusiwa kupiga kura(bila kujiandikisha).
nakuhakikishia hii idadi 'imepikwa' kwa malengo ya 'kupika' kura za ushindi kwa kile chama.
 
NEC wakijichanganya uchaguzu huu zinapigwa kura za wazi ccm nilazima kundolewa kwanjia zote
 
Kama unategemea mabeberu, mbona tena unaanza kuweweseka mkuu? Mm nawashauri twendeni kwenye kampeni tukatoe sera, halafu tukampe tena JPM miaka 5.
 
Mil 20 kura za CCM izozilizobaki mtagawana wapinzani na nyinyi msijisikie vibaya.
 
Kama unategemea mabeberu, mbona tena unaanza kuweweseka mkuu? Mm nawashauri twendeni kwenye kampeni tukatoe sera, halafu tukampe tena JPM miaka 5.

Kwa ulichokiandika kinaendana na nilichokisema?
Nyie mnafeli wapi aisee?
Kama ndo mloajiriwa mitandaoni Hoja ni kazi bure.
Au ndo kama wajitolea kujibu mada humu basi jifunze kujikita kwenye hoja sio kuropoka tu.

Nimeeka wapi neno mabeberu au kuhusu kuchagua mtu yotote au chama chochote?
 

Na huku kwetu Zanzibar , watu zaidi ya 50 000 wanaostahili kupiga kura hawajapewa vitambulisho
 
Labda sio kwa Tanzania hii. Hiyo ndoto ya saa kumi na mbili asubuhi.
 
Labda sio kwa Tanzania hii. Hiyo ndoto ya saa kumi na mbili asubuhi.


Mbona ngumi zimeanza ndani ya CCM yenyewe ?? Ndio mambo yanavyoenda. Karume hakuuliwa na watu wa mitaani ni hao aliwaowapa vyeo wakiongozwa na Laanatullahi Nyerere, TIME WILL TELL , oktober si mbali
 
Jkt wametangaza nafasi za kazi, je vijana watakao kwenda jkt watapiga kura?
 
Majina kwenye vitu vya kupigia kura yaisha banduliwa hata kabla ya wapiga kura kuhakiki majina yao hii tume inatia mashaka sana
Mil 20 kura za CCM izozilizobaki mtagawana wapinzani na nyinyi msijisikie vibaya.
 
Hii iss Hii issue Ni very serious.mwaka 2015 wakati wa uchaguzi Mkuu, magufuli alipata kura 8m plus na Lowasa 6m plus. Ukijumlisha unapata 14m plus.sasa vyama vingine na mabso hawakupiga kura may be 2m plus.jumla inakuwa 16m plus. Mwaka huu tume ya uchaguzi umetoa wapi watanzania waliojiandikisha 29m plus?
 
 

Attachments

  • 1598259793079.png
    27.2 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…