Uchaguzi 2020 Nina mashaka na idadi ya wapiga kura 2020


hata wakiweka majina ya wafu, haiwezi fika 29M
 
siku hizi hakuna tena maisha ya ujanja ujanja mambo ni hadharani kwa sasa
 
naaaam!! siku hizi hakuna tena maisha ya ujanja ujanja mambo ni hadharani kwa sasa
 
Safari hii ni kura za maruhani mzee
 

Usiumize kichwa na chaguzi za Tanzania. Mwaka 2015 si ulikuwepo. Si uliona. Basi usiumize kichwa na hizo hesabu. We ukitaka siasa ya Tanzania chukua fomu, ijaze na uirejeshe. Hapo ndo utajua idadi ya wapiga kura ni wangapi.
 
Piga ua wapiga kura hawazidi m15. Kitu kingine ni kuwa watu vitambulisho vya kupiga kura tumeshapoteza. Sidhani kama watz hata wwnye ivyo vitambulisho kufika mi5
 
Mwaka 2015 waliojiandikisha kupiga kura walikuwa wangapi tuanzie hapo ili tukate mzizi wa fitina, maana hata hizi projection za watu sijui ni estimation ambazo hazina uhalisia, coz tangu 2012 sensa bado haijafanyika kujua idadi ya watanzania ni kiasi gani
 

Kama unataka tetea hoja kwa kukosoa makadirio utafeli haraka kwa hoja yako. Njia ya makadirio haiwezi kutofautiana zaidi ya asilimia 2 ya idadi halisi ya watu.

Ya mwaka 2015 naona mambo ni yale yale tuu maana idadi ilionekana milioni 22.. Ila ya mwaka ule watu walijitoa wengi sana kujiandikisha kuanzia kuwa hapakuwa na kitambulisho kilichokuwa kina umuhimu kama cha kura na sababu pia za kisisa tofauti na mwaka hu.

Sasa mwaka huu watu wengi sana walipuuzia kujisajili hasa baada ya kuona ya mwaka jana uchaguzi serikali za mitaa.

Basi leta hoja ya kusahihisha imewezekenaje idadi kukaribia au kulingana kabisa na idadi ya watu wanaoruhusiwa kupiga kura (NADHANI ULIONA WATU WALIVYOSUSIA KUJIANDIKISHA HADI SIKU KUONGEZE ILA WAPI),
 
Bro watu wangu wooote wa karibu hamna hata mmoja alieenda kuhakiki kwenye daftari la kupiga kura, binafsi nakiri nilishtukia tuu kipindi Cha korona kuona watu wanahakikiwa Tena kwa uchache saana, nilipoenda nikaambiwa muda umeisha hawajui ni lini Tena.

Nasema hivii hio idadi hata Mimi natilia Shaka hasa ukizingatia uhakiki na uandikishaji ulifanyika Mara ya mwisho kipindi Cha corona, ambapo watu wengi waliogopa.
 

Ninapo ishi mimi hakuna hata mmoja ambae kajisajili watu walikuwa wanalaumu siezi kwenda kujiandikisha alafu fomu zikirudishwa milango imefungwa. Yaaan mpaka najiuliza labda mitaa yangu mimi ndo itakuwa pekee tuu hawajajiandikisha
 
Mkuu bado unaongelea assumptions tu, idadi ya watu inayojulikana sasaivi ni makadirio tu, Hakuna mwenye data kamili.
 
Kwahiyo huko upinzani mnawatengeneza kwa ajiri ya kuwauza nijuavyo mimi mnunuzi hawezi kuwepo bila muuzaji

Mnaposema kiongozi fulani kanunuliwa anaye kuwa kamuuza ni nani[emoji23][emoji23] , maana huenda ikawa ni biashara nzuri akina sisi tuanze u middle man
 

2015 walikuwa wapiga kura 22m+. Na sensa ya 2012 tulikuwa 52m+. Endelea na hoja yako sasa.
 
"CCM ITATAWALA MIAKA 100" Jakaya kikwete 2005 Jangwani Dar Es salaam.

Kauli hii imebeba Siri na tafakuri nzito Sana. Binafsi Inanivunja moyo wa uwepo wa Upinzani nchini.
 
Ninapo ishi mimi hakuna hata mmoja ambae kajisajili watu walikuwa wanalaumu siezi kwenda kujiandikisha alafu fomu zikirudishwa milango imefungwa. Yaaan mpaka najiuliza labda mitaa yangu mimi ndo itakuwa pekee tuu hawajajiandikisha
Mimi nafkiri walihamasishwa watu wao zaidi ila kwa kweli ushindi safari hi wameuandaa toka mbali saana
 
Mkuu wamepitisha sheria mpyaa, mkuu wkaitoa ana hiyari ya kutoa au kutokutoa copy ya matokeo kwa wasimamizi wa vyama.
Ni kweli hata wakala sio lazima asaini kukubali matokea yaani wakala kusaini kwamba anakubali matokeo ni Option ,ila sisi tunataka wakala aseme matokeo yale aliyohesabu kwa pamoja na kuyaandika hayo atakayoleta mtu wa NEC ni ya kwake.
 
Wala haihitaji Akili kubwa sana kujua kuwa Kukishinda chama kilichokaa Madarakani kwa zaidi ya Miaka 40 hasa Barani Afrika ni Mtihani mzito mno.
Kwani si alifia kule Ujerumani shehe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…