Jacob kalokola
JF-Expert Member
- Mar 26, 2022
- 893
- 2,721
Nina mashaka sana na huyu rais wa Ukraine kuwa anaweza kuwa anatumika na Urusi hili kuidhoofisha ulaya kiuchumi na teknologia ya silaha zao. Mfano Himars zimeundwa 2012, uwezo wa Patriots, uwezo wa Leopard tanks n.k.
Matangazo ktk media za west zikisifia dhana hizi za kivita, lakini uharisia wake ni wa kawaida kwa mataifa yenye nguvu kama Uchina, Urusi, India, n.k
Labda kwetu africa na Middle East. Mataifa kama Qatar, Pakistan wamepunguza order ya silaha za west baada ya kuona hazina tofauti hivyo soko sasa limeamia China. Saudia imeorder orodha ya silaha toka Uchina.
Kwanini ninamwita Zelensky nahisi mamluki, raia wengi wamekuwa wakimbizi, miundombinu inakufa, madeni n.k
Ndio kwanza anaomba silaha hili zifanyiwe uchunguzi na kuharibiwa ktk uwanja wa vita na kuua soko.