Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

Kuzini dhambi kiongozi,
Ungeoa yasingekuwepo haya
 
Inapokujaga ishu ya mimba wanaume wengi huwa tunawaza kua tumesingiziwa ili tuepuke hicho kikombe hasa kama hujajipanga ama lah huna mpango wa kuzaa na huyo she.

Kijana weka kumbukumbu za tarehe mlizokutana vizuri, kumbuka tarehe sahihi mliyonjunjana. Sio useme kama wiki sijui nahisi ilikua siku fulani na vitu kama hizo.
Usipokua na uhakika wewe basi huyo mpenzio atakupa uhakika amboa utake usitake itabidi uuamini maana wewe hukumbuki.
 
Hajasema ana mimba Yako amesema anahisi ana mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…