Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

Kipindi napata mimba mwenyewe sikumwambia mwenzangu ni ya week.ngapi maana walinichanganya nae alivo kauzu kama wewe lazima angekuja kuanzisha thread humu.kwanza angeniacha kabisa .mkeo nae angekausha .
Kwanza hapo kuna clinic wanatumia tar ya Kwanza ya period wengine tar ya mwisho
Hapo tena ukute umeropoka labda cycle yako haeleweki ulivuka mwezi .unaweza kuambiwa Una mimba ya week 12 kumbe ulisex week mbili tu zimepita
 
Mfano, alieingia period tareh 1, alaf tareh 10 akafany mapenzi, tareh 14 akienda hospt kupima ultrasound.. itasoma mimba ni wiki 2??
Sina hakika kama USS inaweza kusoma mimba ya wiki 2,nijuavyo wiki 4 na kuendelea.

Ila unachotakiwa kujua tu ukuaji wa mimba kwenye mfuko wa uzazi ni tofauti na akizaliwa. Mtoto akizaliwa atahesabiwa umri siku atakayozaliwa ila mimba itahesabiwa siku ya kwanza kwa mara ya mwisho kuona siku zake.
 
Kipindi napata mimba mwenyewe sikumwambia mwenzangu ni ya week.ngapi maana walinichanganya nae alivo kauzu kama wewe lazima angekuja kuanzisha thread humu.kwanza angeniacha kabisa .mkeo nae angekausha .
Kwanza hapo kuna clinic wanatumia tar ya Kwanza ya period wengine tar ya mwisho
Hapo tena ukute umeropoka labda cycle yako haeleweki ulivuka mwezi .unaweza kuambiwa Una mimba ya week 12 kumbe ulisex week mbili tu zimepita
Hii ya kuangalia mzunguko ni inafanya kazi kwa yule ambae hana shida kwenye Cycle yake na sio wale ambao haueleweki. Ambao haueleweki njia nzuri USS.
 
Habari, nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kwa muda wa mwaka, sasa mara ya mwisho kukutana nae kimapenzi ni wiki tatu zilizopita na kabla ya hapo sijakutana nae kimapenz zaid ya miez mi3.. sasa juzi kaniambia anahisi ana mimba maana hajazion siku zake.

Nikamtumia pesa aende hosptal kupima.. baada ya kupima akanitumia ultrasound inasoma mimba ipo na ina week 5 na sku 2. Nimepiga hesabu zangu naona zinagoma nilitegemea angalau iwe na wiki 3 au zisizid 4.
Ila yeye sijamueleza hiki nachohisi kama mimba sio yang.

SWali langu je hizi ultrasound zinaonesha uhalisia au ni makadirio?

Na kama ni makadirio, je mimba ya wiki 3 inaweza kweny ultrasound ikasoma 5weeks?
Si bora wewe kuna utofauti wa wiki mbili, na ulipiga kavu, mimi nilipiga na Condom na ndom hazikuharibika, mimba inatofautiana kwa wiki tatu na mahesabu yangu kwa ultrasound, afu naambiwa mimba ni yakwangu na analia machozi mengi tu, yaani ningetapeliwa vibaya sana.
 
Hapana uzuri mmoja ilikua ni ticha wa mazoezi tu😁 sema walimu vijana walinipiga kama ngoma wivu tu😁😁
Ulimtia mimba mwalimu wako!!!🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
Kweli jina la shindikana sikulikosea.
 
Ulimtia mimba mwalimu wako!!!🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
Kweli jina la shindikana sikulikosea.
😁 bahati mbaya tu na wewe, now nishazeeka sina makali😁😁
 
Hiyo ya kutia mimba ukiwa "fomu silii"
Nilielewa, ila sikutaka kusema kuwa mtoto wetu wa kwanza, nilikupea mimba wakati mimi nipo school nawe chuoni.
Sipendagi kusema sema hivyo.
😂
 
Back
Top Bottom