Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

Habari, nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kwa muda wa mwaka, sasa mara ya mwisho kukutana nae kimapenzi ni wiki tatu zilizopita na kabla ya hapo sijakutana nae kimapenz zaid ya miez mi3.. sasa juzi kaniambia anahisi ana mimba maana hajazion siku zake.

Nikamtumia pesa aende hosptal kupima.. baada ya kupima akanitumia ultrasound inasoma mimba ipo na ina week 5 na sku 2. Nimepiga hesabu zangu naona zinagoma nilitegemea angalau iwe na wiki 3 au zisizid 4.
Ila yeye sijamueleza hiki nachohisi kama mimba sio yang.

SWali langu je hizi ultrasound zinaonesha uhalisia au ni makadirio?

Na kama ni makadirio, je mimba ya wiki 3 inaweza kweny ultrasound ikasoma 5weeks?
Hongera ba kijacho......
 
Kwenye kuhesabu umri WA.mimba huwa unaulizwa mara ya mwisho kuona period
Kasome hata Kadi za clinic utaona mkuu
Kama.mlisex week Tatu zilizopita ninsawa .msisex danger. Day
Mfano, alieingia period tareh 1, alaf tareh 10 akafany mapenzi, tareh 14 akienda hospt kupima ultrasound.. itasoma mimba ni wiki 2??
 
Mimba umri wake haihesabiwi siku mliofanya ,inaanza kuhesabiwa siku aliyoona siku zake za hedhi tarehe ya kwanza kwa mara ya mwisho.
Mfano, alieingia period tareh 1, alaf tareh 10 akafany mapenzi, tareh 14 akienda hospt kupima ultrasound.. itasoma mimba ni wiki 2??
 
Mfano, alieingia period tareh 1, alaf tareh 10 akafany mapenzi, tareh 14 akienda hospt kupima ultrasound.. itasoma mimba ni wiki 2??
Mfano Mimi nilisex April 12 na 14.period nilitakiwa kuingia tar 28 sikuona period.nilivopima mimba nikaambiwa Nina mimba ya week nne .nilipima tar 30 april
 
Back
Top Bottom