Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

Akapige ultrasound nyengine halafu ulinganishe hiyo ya mwanzo na ya pili, hasa hasa mpleke kwa radiographer mzoefu. kisha linganisha mkuu.

Mara nyingi mimba ya wiki tatu haionekani kwa ultasound laba labda report itasema kuna dalili za mimba changa i.e features are suggestive of early pregnancy, na hapo radiographer ata recommend upimwe mkojo yaani UPT
Alivopimwa anasema walichukua mkojo pia
 
Kama ulishapiga mimba ni ya kwako mkuu, mpaka akusingizie wewe alishaona unafaa kuwa baba wa mwanae ,tusaidiane kwa upendo tu mkuu.
Kabisa wee kama mwanamke ameamua kukubambiakia mtoto ujue kakubali u r a man endelea nae tuu🤣🤣🤣🤣
 
Habari, nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kwa muda wa mwaka, sasa mara ya mwisho kukutana nae kimapenzi ni wiki tatu zilizopita na kabla ya hapo sijakutana nae kimapenz zaid ya miez mi3.. sasa juzi kaniambia anahisi ana mimba maana hajazion siku zake..
Nikamtumia pesa aende hosptal kupima.. baada ya kupima akanitumia ultrasound inasoma mimba ipo na ina week 5 na sku 2.
Nimepiga hesabu zangu naona zinagoma nilitegemea angalau iwe na wiki 3 au zisizid 4.
Ila yeye sijamueleza hiki nachohisi kama mimba sio yang.

SWali langu je hizi ultrasound zinaonesha uhalisia au ni makadirio?

Na kama ni makadirio, je mimba ya wiki 3 inaweza kweny ultrasound ikasoma 5weeks?
Sio ya kwako. Kwani hata kuhesabu hujui? Na sema leo. Usisubirie ulee mimba ndo ulalamike.
 
Kabisa mkuu, hakuna mwanamke anamsingizia mtu goigoi tu mtoto😁
Alafu hii lina ukweli....wanawake wajanja lazima wachague mwanaume mwenye future.
Kumbe sie ambao hatujawahi kubambikiwa mimba maana yake hatuna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom