Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

Habari, nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kwa muda wa mwaka, sasa mara ya mwisho kukutana nae kimapenzi ni wiki tatu zilizopita na kabla ya hapo sijakutana nae kimapenz zaid ya miez mi3.. sasa juzi kaniambia anahisi ana mimba maana hajazion siku zake..
Nikamtumia pesa aende hosptal kupima.. baada ya kupima akanitumia ultrasound inasoma mimba ipo na ina week 5 na sku 2.
Nimepiga hesabu zangu naona zinagoma nilitegemea angalau iwe na wiki 3 au zisizid 4.
Ila yeye sijamueleza hiki nachohisi kama mimba sio yang.

SWali langu je hizi ultrasound zinaonesha uhalisia au ni makadirio?

Na kama ni makadirio, je mimba ya wiki 3 inaweza kweny ultrasound ikasoma 5weeks?
Akapige ultrasound nyengine halafu ulinganishe hiyo ya mwanzo na ya pili, hasa hasa mpleke kwa radiographer mzoefu. kisha linganisha mkuu.

Mara nyingi mimba ya wiki tatu haionekani kwa ultasound laba labda report itasema kuna dalili za mimba changa i.e features are suggestive of early pregnancy, na hapo radiographer ata recommend upimwe mkojo yaani UPT
 
Kimbia akisha jifungua utakuja kumzoom mtoto. Bora nusu shari kuliko shari kamili
 
Relax Ultrasound hazielewekii,wee kama unjua siku zake zilizokua za hatarii,mark hizo Tarehe...kikawaida huendana na Tarehe za kujifungulia Kutengeneza miezi 9. Next step check mtoto alivyo. Mwisho wanaume wa kweli haupaswi kuchimbaa sana hilooo ilimladi ulimwagia ndanii✓✓
 
Back
Top Bottom