Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Nikamtumia pesa aende hosptal kupima.. baada ya kupima akanitumia ultrasound inasoma mimba ipo na ina week 5 na sku 2.
Nimepiga hesabu zangu naona zinagoma nilitegemea angalau iwe na wiki 3 au zisizid 4.
Ila yeye sijamueleza hiki nachohisi kama mimba sio yang.
SWali langu je hizi ultrasound zinaonesha uhalisia au ni makadirio?
Na kama ni makadirio, je mimba ya wiki 3 inaweza kweny ultrasound ikasoma 5weeks?
Ukiwa mwanaume usiyetaka mwanamke apate ujauzito basi zingatia matumizi ya kondomu, la sivyo kubaliana na matokeo...
Unatembea pekupeku halafu unataka kutusumbua tuanze kuhesabu siku zisizotuhusu, ebohhh!