Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

Mimba huhesabiwa toka mzunguko wa mwisho wa mwanamke. Yaani ile tarehe yake ya mwisho ya period, alipomaliza period, kesho yake ndo tarehe ya kwanza ya mimba.

Piga hesabu zako vizuri mkuu usije bambikiziwa kiumbe ambacho sio chako kisa tu amekuona wewe mnyonge.
 
Sasa hii concern unayoshea hapa na sisi, kwanini usimueleze yeye kwanza.
 
Kwa maana hio huenda hedhi yake ya mwisho ilikua wiki 5 zilizopita, na tumekutana wiki 3 zilizopita.. kwahio ultrasound imeanzia kuhesab kunzia hedhi yake ya mwsho! Km ni hvo bas ntafatilia nijue hedhi yake ya mwsho ilikua lini ili ni confirm..
 
Hatari sana.
 
Sasa hii concern unayoshea hapa na sisi, kwanini usimueleze yeye kwanza.
Nmetaka kujua km hzo ultrasound ni makadirio au ni uhalisia 100% ili kabla sijamueleza yeye niwe na uhakika nachokisem
 
Thnks, nitafuatilia hili nijue kiundan period yake ya mwsho
 
Bora umemwelewesha mi naona uvivu kuandika,watu wengi hawajui kuhesabu umri wa mimba wao wanadhani siku ya kudo ndo umri wa mimba
 
Ukute hana mimbaa, ni mpango kautega akupigee maokotoo.

Nimekumbukaa shost angu alivyompiga jamaa ake mapenee, kupitia mimba uchwara, mwsho kudanganya imeharibikaa. Lol

Shtukaa mjinii hapaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…