Nina mashaka sana na Umri wa hawa wachezaji wa Simba

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Hawa wachezaji msimu huu na uliopita ukiwaangalia ni watu ambao wana malengo fulani na kuna kitu wanakitafua ila miili inakataa.

Hii ni dalili kwamba wana uchovu wa muda mrefu au umri umewatupa mkono .
Kwa hapa Uchovu sidhani ila nina shaka na umri halisi sio wa kwenye makaratasi.

Timu iwe makini tunapofanya Usajiri .​
 
Mimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema moyoni lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la kusema
 
🤣🤣🤣MaWEED
 
Mashoga wa facebook mmehamia hadi huku.
 
Mimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema moyoni lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la kusema
Sasa si bora ungepita kimya kama mimi [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom