Nina maswali juu ya mtume Mwamposa

Nina maswali juu ya mtume Mwamposa

Thibitisha Ni wapi nimemuita mwamposa mtume? Tuma screenshot nione


Uisilamu sio dini Ni kikundi Cha Wana mgambo syria
772D0F6B-DB2F-4F03-95E6-5F30DC164452.jpeg
 
Huenda hajaitiwa hizo kazi za kufungisha watu ndoa.

Amejikita kwenye maombezi Na kufunguliwa kwa watu zaidi .

Ndoa kafungieni huko kwa wengine.
 
People acting like logic can answer spiritual questions. Logic ni result ya thoughts kwenye ubongo wako.

Same way scientists walishafeli ku confirm presence of spirits.

Answering scientific questions you must use scientific knowledge.

Inakubidi uwe spiritual believer ku answer vitu vya roho. That’s the best unaweza kuja na facts.

It’s like mwanasheria a disqualify daraja au ghorofa

Dumb thoughts.
 
nilikuwa nampinga mwamposa ila saivi namkubali sanaa.


kwanza anajituma sana Yani ni mtumwa kweli kweli wa kazi yake.

sijui anapumzikaga saa ngapi.
 
Huwa najiuliza kwanini wenye pesa hawana mapepo,au mapepo ya kina mwamposa hayataki matajiri[emoji16][emoji16][emoji16]yani futuhi tupu kwenye makanisa yao
 
Habari.

Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa

1. Hafungishi ndoa?

2. Hafanyi ibada ya mazishi?

3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?
na yeye hana ndoa, na hatujui kama ni padre au anapunguzia kwa nani. ila ana watoto. tapeli mkubwa.
 
Habari.

Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa

1. Hafungishi ndoa?

2. Hafanyi ibada ya mazishi?

3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?
Nauza tumbaku, siwezi waonesha wahanga wa kansa ya mapafu; hamtaniungisha na nitakosa wateja wapya.
 
Back
Top Bottom