Nina maswali juu ya mtume Mwamposa

Nina maswali juu ya mtume Mwamposa

Usinipe story za wayahudi. Utafiti wa effectiveness ya prayer unaonyesha hamna tofauti ya mtu kuombewa na kutokuombewa wote Wana same chance ya kupona, 🤣we Unadhani uponyaji ungekuwa real si madaktari wasingesoma miaka 5 waajiriwe mahospitalini wangesoma Biblia wavae Suti wajiite mitume wajaze makanisa kwa kuiba sadaka za wanawake na watoto maskini na wasio na elimu

Kama hutaki story za wayahudi achana na Mwamposya maana yeye ndio anazipenda haswa

Acha chuki na wivu fuata mambo yako
 
šŸ˜… Hujiulizi kwa Nini wanawake wengi ndo wahanga wa haya mambo ya wachungaji? Coz ni rahisi kudanganywa, mnaamini kwa hisia na sio ufahamu.. that's the truth...Mungu hawezi leta mtume muuaji, muongo, tapeli, mwizi etc huyu ni binadamu ambae anatumia ujinga uvivu uwoga na tamaa za watu kujijengea mahoteli wakati waumini wake wako hoi
 
Huyo Mungu ndio alituumba hivyo. Waliowazaa mitume na manabii ni wanawake, aliyekuzaa wewe ni mwanamke, waliomboleza kwaajili ya Kristo ni wanawake, waliopata taarifa ya kwanza ya kufufuka kwake ni wanawake pia... Kwani wewe unaumia nini???
Tulia au utuache na hisia zetu
 
🤣Mi siumii ila wenzetu wanatengeneza chanjo sisi tunaombea ugonjwa uondoke...ndo ujue why tulitawaliwa na wazungu.
 
Hivi hujui kama serikali huwekwa na Mungu? Au mkono wa Mungu unahusika? Sikia hizi taratiibu zote za kiserikali zimetokana na mfumo wa kidini unajua kitu ugatuzi wa madaraka ulianzia wapi! Kasome Bible yako vizuri!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Jiangalie wewe..shauri yako
 
Habari. Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa 1. Hafungishi ndoa? 2. Hafanyi ibada ya mazishi? 3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?

Una maswali na mtume mwamposa au mtu anaeitwa mwamposa?

Habari.

Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa

1. Hafungishi ndoa?

2. Hafanyi ibada ya mazishi?

3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?
 
Habari. Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa 1. Hafungishi ndoa? 2. Hafanyi ibada ya mazishi? 3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?

Una maswali na mtume mwamposa au mtu anaeitwa mwamposa?

Habari.

Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa

1. Hafungishi ndoa?

2. Hafanyi ibada ya mazishi?

3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?
 
Huyo Mungu ndio alituumba hivyo. Waliowazaa mitume na manabii ni wanawake, aliyekuzaa wewe ni mwanamke, waliomboleza kwaajili ya Kristo ni wanawake, waliopata taarifa ya kwanza ya kufufuka kwake ni wanawake pia... Kwani wewe unaumia nini???
Tulia au utuache na hisia zetu
Mamajusi ni wanawake?[emoji1787]
 
Mwamposa siyo Mchungaji, ni mtume. Hivyo hana mamlaka ya kufungisha ndoa wala ibada za mazishi

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Ndoa anaweza fungisha hata mama yako sio ...dini hizi tumeletewa wewe kuniwekea au kutoniwekea msalaba kwa kaburi langu kisa sikukidhi matakwa ya dini yenu haitasaidia chochote niendapo
 
Habari.

Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa

1. Hafungishi ndoa?

2. Hafanyi ibada ya mazishi?

3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?

1. Ndoa hufungishwa na wenye vibali vya serikali, huenda Bulldozer hana huo usajili...

Mengine watajibu waumini wake...
 
Back
Top Bottom