Thibitisha Ni wapi nimemuita mwamposa mtume? Tuma screenshot nione
Uisilamu sio dini Ni kikundi Cha Wana mgambo syria
Kwa hio hapo nimeandika mimi
Na kwenye pesa je utume haupo?Mwamposa siyo Mchungaji, ni mtume. Hivyo hana mamlaka ya kufungisha ndoa wala ibada za mazishi
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
na yeye hana ndoa, na hatujui kama ni padre au anapunguzia kwa nani. ila ana watoto. tapeli mkubwa.Habari.
Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa
1. Hafungishi ndoa?
2. Hafanyi ibada ya mazishi?
3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?
Nauza tumbaku, siwezi waonesha wahanga wa kansa ya mapafu; hamtaniungisha na nitakosa wateja wapya.Habari.
Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa
1. Hafungishi ndoa?
2. Hafanyi ibada ya mazishi?
3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?