Nina maswali kadhaa kuhusu Uraia Wa Kibu Denis

Kwani huyo ana uwezo gani mpk afanyiwe fitna na kwa kipi hasa alichonacho?

Halafu TFF mbona kuna wachezaji wazuri huko nje mpk kesho wanahitaji kuchezea timu ya Taifa ila hawafanyi mkakati wa kuwaombea uraia kama walivyofanya kwa huyu mburundi? Licha ya kuwa mmoja wa wazazi anakuwa ni mtanzania
Fitna zimaletwa baada ya jamaa kusajiliwa simba na kuipiga chni utopolo
 
Kibu Denis kazaliwa Tanzania ila wazazi wake Wana asili toka Burundi kwa kuwa walikuwa wakimbizi.

Cha kushangaza, alicheza Geita Gold mine fc, mbeya city na taifa stars ila aliposajiliwa tu Simba sc ikawa tatizo.

Ila hakuna shida kwa sababu Mambo yako sawa kwa Sasa.
Hapana bro hajazalowa tanzania,amekuja na wazazi wake akiwa na miaka 6,akitokea burundi ingawa wazazi wake ni wacongo,kakulia nyarugusu geita,kasoma geita na mpira alianza kucheza geita mwaka juzi wakicheza play off na mbeya mji,ndipo mbeya wakamsajili

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwani huyo ana uwezo gani mpk afanyiwe fitna na kwa kipi hasa alichonacho?

Halafu TFF mbona kuna wachezaji wazuri huko nje mpk kesho wanahitaji kuchezea timu ya Taifa ila hawafanyi mkakati wa kuwaombea uraia kama walivyofanya kwa huyu mburundi? Licha ya kuwa mmoja wa wazazi anakuwa ni mtanzania
Acheni myths za vijiweni, eti wachezaji wengi tu wazuri wako nje wanalilia kuichezea stars[emoji23].

Wataje hata watatu, hao wachezaji wazuri wa nje wanaolilia kucheza Tz ila TFF inawakatalia.

NB: Wachezaji wenye asili ya Tz wapo wengi tu nje ya nchi, ila swala la kusema wanalilia kuichezea Tz ni uongo mkubwa.

Wewe unazungumzia Tz? Nenda kaangalie wachezaji wa Congo ilivyojaza wachezaji wake pale ufaransa.
 
Mkuu nakupa list hapo chini
Yule Yufus Poulsen wa RB Leipzig kabla hata hajaanza kuitwa timu ya Taifa ya Denmark alikuwa anakuja hadi Tanzania na kuongea na TFF ili imfanyie mpango wa kucheza timu ya Taifa ila hazikuganyika jitihada kama hizi kwa Kibu Denis au ndo kisa kasajiliwa na simba

John Lema, Bwana mdogo huyu wazazi wake wana asili ya Tz na alizaliwa hapa ila ndo familia ikahama anacheza ligikuu ya Austria

Haji Mnoga huyu yupo portsmouth championship pale England baba yake anafanya jitihada ya dogo apate call up national ila TFF hawatoi ushirikiano kama waliofanya kwa Kibu Denis kisa kasajiliwa simba

Mafanikio ya timu ya Taifa hayaji kwa kutumia tu wachezaji wazawa na wanaocheza hapa bongo ila kuna matumizi ya wachezaji ambao wana asili ya nchi yao na ndio soka la dunia jinsi lilivyo

Na kama hili hulijui na hulioni basi utakuwa mjinga na mpumbavu
 
Je,timu tulizocheza nazo huyo mchezaji akiwemo zikienda kulalamika kua tulitumia mchezaji wa kigeni itakuaje? Haiwezi kuleta nongwa katika hili?
Haziwezi kwa sababu mashindano yale yameshaisha na mapya yameanza, kama ambavyo itakuwa kwa Morrison ikitokea
 
Mkuu nakupa list hapo chini
Yule Yufus Poulsen wa RB Leipzig kabla hata hajaanza kuitwa timu ya Taifa ya Denmark alikuwa anakuja hadi Tanzania na kuongea na TFF ili imfanyie mpango wa kucheza timu ya Taifa ila hazikuganyika jitihada kama hizi kwa Kibu Denis au ndo kisa kasajiliwa na simba

John Lema, Bwana mdogo huyu wazazi wake wana asili ya Tz na alizaliwa hapa ila ndo familia ikahama anacheza ligikuu ya Austria

Haji Mnoga huyu yupo portsmouth championship pale England baba yake anafanya jitihada ya dogo apate call up national ila TFF hawatoi ushirikiano kama waliofanya kwa Kibu Denis kisa kasajiliwa simba

Mafanikio ya timu ya Taifa hayaji kwa kutumia tu wachezaji wazawa na wanaocheza hapa bongo ila kuna matumizi ya wachezaji ambao wana asili ya nchi yao na ndio soka la dunia jinsi lilivyo

Na kama hili hulijui na hulioni basi utakuwa mjinga na mpumbavu
Umeanza vizuri kwenye maelezo yako ila huko mwishoni umeharibu na kwakua hili linaoneka ni tatizo la kimalezi acha niwawajibishe walioshindwa kukulea vizuri.

Mjinga na mpumbavu ni mama yako na ukoo wako wote, kwakutuletea litoto ambalo haliwezi haliwezi kuhimili hoja zenye mlengo tofauti na wake, ni bora angezaa kreti la bia tu.

Uwe na usiku mwema mkuu.
 
Wana kuchimba ww

Mkuu hujaacha tabia zako za kipunga bado na wahuni wanaendelea kukuchimba mtaro
 
Nimeshamaliza na sitabadili kauli zangu, najua hiki unachocomment humu ni matokeo ya mwanamke mmoja mpumbavu kufeli kimalezi, amekulea kikekike sana kiasi kwamba njia pekee uliyonayo ya kukabiliana na hoja za wenzako ni matusi.

Ni afadhali angezaa kreti la soda watu tukanywa, kuliko wewe takataka.
 
Sababu ya kwanza,, Uwezo anao na ndio maana kaitwa yeye ambae kwa mujibu wa tff sio mtanzania lkn kaitwa, na hao ambao unaowasema wewe wako nje ambao ni watanzania hawajaitwa.

Sababu ya pili ni yeye kujiunga na simba kwa kuwa huko alikopita nyuma mbona hatukuyasikia haya,, ikiwa mtu kacheza mpaka taifa stars
Utopololooo haoo
 
Hii nchi kila kitu ni usanii tu na siasa! Kwa uzembe tu wa kuruhusu raia wa kigeni kufoji taarifa zake na kujifanya ni raia mwenzetu, ilikua ni sababu tosha ya kumfikisha mahakamani! Na baada ya hapo, kumrejesha katika nchi yake husika.
Sipati picha kama huyu jamaa angalikuwa mwanasiasa. Tungekuwa tunaongelea mengine hivi sasa
 
Mkuu nakupa list hapo chini
Yule Yufus Poulsen wa RB Leipzig kabla hata hajaanza kuitwa timu ya Taifa ya Denmark alikuwa anakuja hadi Tanzania na kuongea na TFF ili imfanyie mpango wa kucheza timu ya Taifa ila hazikuganyika jitihada kama hizi kwa Kibu Denis au ndo kisa kasajiliwa na simba

John Lema, Bwana mdogo huyu wazazi wake wana asili ya Tz na alizaliwa hapa ila ndo familia ikahama anacheza ligikuu ya Austria

Haji Mnoga huyu yupo portsmouth championship pale England baba yake anafanya jitihada ya dogo apate call up national ila TFF hawatoi ushirikiano kama waliofanya kwa Kibu Denis kisa kasajiliwa simba

Mafanikio ya timu ya Taifa hayaji kwa kutumia tu wachezaji wazawa na wanaocheza hapa bongo ila kuna matumizi ya wachezaji ambao wana asili ya nchi yao na ndio soka la dunia jinsi lilivyo

Na kama hili hulijui na hulioni basi utakuwa mjinga na mpumbavu
Nafikiri hili suala sisi kama wadau tumeangalia zaidi upande wa TFF kutofanya jitihada.

Lakini hao wachezaji wapo radhi kuukana uraia wa nchi zao waweze kuchezea Tanzania?!

Kumbuka,nchi yetu hairuhusi uraia pacha.
 
Kwani hao wachezaji hawana akili wala upeo kuhusu nchi ya Tanzania kwenye masuala ya uraia

Wanajua kila kitu, have u ever listened to Yusuf Poulsen interview about his dream to play for Tanzania.
 
Mkuu nakupa list hapo chini
Yule Yufus Poulsen wa RB Leipzig kabla hata hajaanza kuitwa timu ya Taifa ya Denmark alikuwa anakuja hadi Tanzania na kuongea na TFF ili imfanyie mpango wa kucheza timu ya Taifa ila hazikuganyika jitihada kama hizi kwa Kibu Denis au ndo kisa kasajiliwa na simba

John Lema, Bwana mdogo huyu wazazi wake wana asili ya Tz na alizaliwa hapa ila ndo familia ikahama anacheza ligikuu ya Austria

Haji Mnoga huyu yupo portsmouth championship pale England baba yake anafanya jitihada ya dogo apate call up national ila TFF hawatoi ushirikiano kama waliofanya kwa Kibu Denis kisa kasajiliwa simba

Mafanikio ya timu ya Taifa hayaji kwa kutumia tu wachezaji wazawa na wanaocheza hapa bongo ila kuna matumizi ya wachezaji ambao wana asili ya nchi yao na ndio soka la dunia jinsi lilivyo

Na kama hili hulijui na hulioni basi utakuwa mjinga na mpumbavu
Hao wachezaji hawakubali kuchukua urai wa Tanzania kwa sababu ya policy ya Tanzania kutoruhusu uraia pacha. Inatakiwa waukane uraia wao ili wawe raia wa Tanzania kitu ambacho ni kigumu. Usiwasingizie TFF. Nchi kama madagascar ina wachezaji ambao wamezaliwa ulaya na wanaenda kucheza mechi tu na kurudi kwao kwa sababu ya wameruhusu uraia pacha. Kwa hiyo unaamini kuna mtu ataukana uraia wa uingeleza ili achezee timu taifa?
 
Kwanini leo hii ndo apewe uraia?

Huko Geita, Mbeya City alikuwa anacheza kama raia wa wapi?
Swali zuri lakini, kuna watu hataki kabisa kuumiza kichwa, wanachokitafuta watakipata siku moja
 
Kwa maana hiyo alikuwa anaishi kinyume na sheria, hilo ni kosa la kwanza

Kosa la pili, alikuwa anafanya kazi nchini bila kibali cha kazi

NB;Kwenye hili ninavyowajua Yanga kuna siku watalilipa ili kulevel scoreboard
 
Back
Top Bottom