Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Sio Yanga tu, timu youote ile ile hasa zile ambazo zilicheza wakati kibu akiwa anachezaKwa maana hiyo alikuwa anaishi kinyume na sheria, hilo ni kosa la kwanza
Kosa la pili, alikuwa anafanya kazi nchini bila kibali cha kazi
NB;Kwenye hili ninavyowajua Yanga kuna siku watalilipa ili kulevel scoreboard