Nina maswali kadhaa kuhusu Uraia Wa Kibu Denis

Nina maswali kadhaa kuhusu Uraia Wa Kibu Denis

Kwa maana hiyo alikuwa anaishi kinyume na sheria, hilo ni kosa la kwanza

Kosa la pili, alikuwa anafanya kazi nchini bila kibali cha kazi

NB;Kwenye hili ninavyowajua Yanga kuna siku watalilipa ili kulevel scoreboard
Sio Yanga tu, timu youote ile ile hasa zile ambazo zilicheza wakati kibu akiwa anacheza
 
Kibu Denis ni mTanzania ila wazazi wake Wana asili toka Congo kwa kuwa walikuwa wakimbizi.

Cha kushangaza, alicheza Geita Gold mine fc, mbeya city na taifa stars ila aliposajiliwa tu Simba sc ikawa tatizo.

Ila hakuna shida kwa sababu Mambo yako sawa kwa Sasa.
 
Nimeshamaliza na sitabadili kauli zangu, najua hiki unachocomment humu ni matokeo ya mwanamke mmoja mpumbavu kufeli kimalezi, amekulea kikekike sana kiasi kwamba njia pekee uliyonayo ya kukabiliana na hoja za wenzako ni matusi.

Ni afadhali angezaa kreti la soda watu tukanywa, kuliko wewe takataka.
Mkuu ili nyani litakupaka matope,lina upungufu wa malezi,linachojua ni matusi TU,limejifunza kwa wazazi wake.
 
Nafikiri hili suala sisi kama wadau tumeangalia zaidi upande wa TFF kutofanya jitihada.

Lakini hao wachezaji wapo radhi kuukana uraia wa nchi zao waweze kuchezea Tanzania?!

Kumbuka,nchi yetu hairuhusi uraia pacha.
Lakini siku timu ikibandikwa mshehena wa magoli tusije kuanza kuwatukana. Ukumbuke Ufaransa wanasumbuka sana na hii kitu. Timu ikishinda wachezaji wanakuwa wafalme, inapofungwa huwa wanazodolewa mpaka kuvuliwa nguo
 
Back
Top Bottom