DOKEZO Nina matatizo kuhusu board ya ununuzi Tanzania wa Umma PSPTB

DOKEZO Nina matatizo kuhusu board ya ununuzi Tanzania wa Umma PSPTB

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Elia Shedrack

New Member
Joined
May 10, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Mimi nina tatizo kwenye Board ya Ununuzi wa umma Tanzania PSPTB kwenye Mfumo wa kujisajili na hii Board Ina category mbalimbali

Ukiwa unajisajili ukikosea kuchagua category Yako husika kwa mfano wewe ni Bachelor ukakosea ukajiunga na Technician then ukatumiwa control number ya kulipia Ada ya uwanachama baada ya kufanya malipo ya kukamilisha usajili baadae wanakuja kukutumia meseji kuwa umekosea kujiunga .

Jiunge Tena na wanakuwa wanataka Tena ulipie Ada upya " sasa je Ile hela ambayo mtu Ambae anakuwa kesha lipia inaenda wapi?

Na ukiwapigia simu ukiwauliza wanashindwa kutoa jibu kuhusu Ile hela ambayo tayari ulikuwa umelipia mwanzo.
 
Back
Top Bottom