cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Nina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi, na kutosimamisha chuchu.
Nina miaka ishirini na kitu, nina maziwa kana kwamba ndiyo yanaanza kukua, sina raha na sidiria lakini nikijiachia naona kama nitasimangwa, ha ha ha. Nikivaa nguo fupi au suruali mama anakasirika sana, lakini mdogo wangu ana miaka ishiri naye hivyo hivyo akivaa wala hakasiriki.
Sielewi, na hata akivaa ya kubana wala hamsemi, shughuli ipo kwangu! Sasa je, nikijiachia na vimaziwa vyangu kama vya mtoto dah, nina mtihani!