Nina matiti madogo nisipovaa sidiria yanachongoka, nikivaa inaniumiza nifanyaje?

Mawasiliano tafadhali maana hii weekend inahitajika kulala
 
Nina maziwa madogo nisipovaa sidilia yanachongoka kwasababu hayajalala kwaiy chuchu zinasimama nikivaa ivo najikuta tu sipo comfortable nikivaa sidilia kifua kinauma na mgongo kwani naiforce tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi,na kutosimamisha chuchu.

Nina miaka ishirini na kitu Nina maziwa as if ndo yanaanza kukua, sina raha na sidilia lakini nikijiachia naona kama nitasimangwa ha ha ha, nikivaa nguo fupi au suruali mama anakasirika sana lakini mdogo angu ana miaka ishiri na ivyo ivyo akivaa wala akasiriki sielewi na ata akivaa ya kubana wala hamsemi shughuli ipo kwangu sasa jer nikijiachia na vimaziwa vyangu kama vya mtoto dah Nina mtihani.
Inaonyesha una bonge la chura ndo mana maza hataki uvae suruali, hongera sana kwa kubarikiwa taco
 
Acha utani yani hata picha ya hayo maziwa haujaweka halafu unataka ushauri!!!!!
 
Yapake Utomvu wa mapapaii....au Kuna kadudu Fulani mesahau jina, unakashika na kukiweka kwa ziwaa ...
 
Nina maziwa madogo nisipovaa sidilia yanachongoka kwasababu hayajalala kwaiy chuchu zinasimama nikivaa ivo najikuta tu sipo comfortable nikivaa sidilia kifua kinauma na mgongo kwani naiforce tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi,na kutosimamisha chuchu.

Nina miaka ishirini na kitu Nina maziwa as if ndo yanaanza kukua, sina raha na sidilia lakini nikijiachia naona kama nitasimangwa ha ha ha, nikivaa nguo fupi au suruali mama anakasirika sana lakini mdogo angu ana miaka ishiri na ivyo ivyo akivaa wala akasiriki sielewi na ata akivaa ya kubana wala hamsemi shughuli ipo kwangu sasa jer nikijiachia na vimaziwa vyangu kama vya mtoto dah Nina mtihani.
Pm iko wazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha Sidilia inaniumiza inanibana tu ata nikiweka pini za mwisho bado naumia tu kifua na mgongo lakini nisipovaa nguo hazikai poa so lazima nivae!!!
Ebu njoo chemba unieleweshe, sijakusoma
 
Nina maziwa madogo nisipovaa sidilia yanachongoka kwasababu hayajalala kwaiy chuchu zinasimama nikivaa ivo najikuta tu sipo comfortable nikivaa sidilia kifua kinauma na mgongo kwani naiforce tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi,na kutosimamisha chuchu.

Nina miaka ishirini na kitu Nina maziwa as if ndo yanaanza kukua, sina raha na sidilia lakini nikijiachia naona kama nitasimangwa ha ha ha, nikivaa nguo fupi au suruali mama anakasirika sana lakini mdogo angu ana miaka ishiri na ivyo ivyo akivaa wala akasiriki sielewi na ata akivaa ya kubana wala hamsemi shughuli ipo kwangu sasa jer nikijiachia na vimaziwa vyangu kama vya mtoto dah Nina mtihani.
Karibu dukani kwangu nikuuzie sindilia ya kikorea utaipenda na hayata uma tena
 
Nina maziwa madogo nisipovaa sidilia yanachongoka kwasababu hayajalala kwaiy chuchu zinasimama nikivaa ivo najikuta tu sipo comfortable nikivaa sidilia kifua kinauma na mgongo kwani naiforce tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi,na kutosimamisha chuchu.

Nina miaka ishirini na kitu Nina maziwa as if ndo yanaanza kukua, sina raha na sidilia lakini nikijiachia naona kama nitasimangwa ha ha ha, nikivaa nguo fupi au suruali mama anakasirika sana lakini mdogo angu ana miaka ishiri na ivyo ivyo akivaa wala akasiriki sielewi na ata akivaa ya kubana wala hamsemi shughuli ipo kwangu sasa jer nikijiachia na vimaziwa vyangu kama vya mtoto dah Nina mtihani.
Niko serious, njoo pm. Tafadhali njoo pm.
 
Yapige picha alafu yamwage humu jamvini pwaaaa! (si umesema ni maziwa)
 
Back
Top Bottom