Nina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi, na kutosimamisha chuchu...
Niko nae hapa Kahama, anachosema ni kweli kabisaUzi bila picha mnato ni uongo wa kutizamwa, ila ivo ni vizuriii kwa ile style ya kupakatwa nameza iko kidodo chote
Huyu ni dumeAisee!! Hapa napata shaka kama wewe ni Ke haswa sababu kuna baadhi ya vitu kwa mwanamke haswa kuvielezea mbele za watu huwa vinaleta ukakasi kidogo.
Naomba mwasilianoNiko nae hapa Kahama, anachosema ni kweli kabisaView attachment 2424252
Weka pichaNina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi, na kutosimamisha chuchu...
Tuyaone kwanza, kisha ndio tushauriNina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi, na kutosimamisha chuchu...
Mambo ya multiple idNishamtia kibut staki bangi mih ha ha ha
Mtani kwani hapa ni mbele za watu?Aisee!! Hapa napata shaka kama wewe ni Ke haswa sababu kuna baadhi ya vitu kwa mwanamke haswa kuvielezea mbele za watu huwa vinaleta ukakasi kidogo.
Mbona ako na mangeu mengi kiasi hicho kwa face yake?Niko nae hapa Kahama, anachosema ni kweli kabisaView attachment 2424252
Pole je yamekuwa?Nina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi, na kutosimamisha chuchu.
Nina miaka ishirini na kitu, nina maziwa kana kwamba ndiyo yanaanza kukua, sina raha na sidiria lakini nikijiachia naona kama nitasimangwa, ha ha ha. Nikivaa nguo fupi au suruali mama anakasirika sana, lakini mdogo wangu ana miaka ishiri naye hivyo hivyo akivaa wala hakasiriki.
Sielewi, na hata akivaa ya kubana wala hamsemi, shughuli ipo kwangu! Sasa je, nikijiachia na vimaziwa vyangu kama vya mtoto dah, nina mtihani!
Niletee nivikuzeNina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi, na kutosimamisha chuchu.
Nina miaka ishirini na kitu, nina maziwa kana kwamba ndiyo yanaanza kukua, sina raha na sidiria lakini nikijiachia naona kama nitasimangwa, ha ha ha. Nikivaa nguo fupi au suruali mama anakasirika sana, lakini mdogo wangu ana miaka ishiri naye hivyo hivyo akivaa wala hakasiriki.
Sielewi, na hata akivaa ya kubana wala hamsemi, shughuli ipo kwangu! Sasa je, nikijiachia na vimaziwa vyangu kama vya mtoto dah, nina mtihani!
Yanakua kama ya mbwa Alie jifunguaOmba Mungu yasilale, maziwa yakiwa madogo afu yakilala yanakuwa na muonekano mbaya knoma
Huko Nyuma Kuna Jamaa anashangaa mpododo. Kumbe unafanya kazi ya barmaid.!?Ayooh mana request n nyingi jamani uko pm mmefurika haswaaaa kumbe mnapenda matiti madogo wanaume bhana mna mambo.......
Fuata jinsi wazazi wako wanavyotaka siku ukitoka kwao ndo ufanye unavyotakaNina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi, na kutosimamisha chuchu.
...