Nina maumbile madogo ya uume

Nakazia hamna uume mdogo mbele ya maokoto.
Sio kweli acha kumfariji uongo. Wanawake ni washenzi na walaghai wanajua udhaifu wetu ni wao so usimdanganye, mim inafika nchi 7 unene uhakika naelewa heshima nayoipata kw wanawake



Hapo zaid utachunwa pesa zako tu na kibamia chako


Pambana kikue kdg mzee.... Muhmu sn
 
Ridhika tu na na ulichonacho. Hakuna maajabu huko ndani unakotaka kufika.
Kuna kigololi tu.
 
Mkuu umenifurahisha. Nilikuwa nasoma kuhusu biashara na masoko ya condoms. Kumbe kwa sehemu kubwa ya condoms zinazouzwa nchi za Asia ni small and medium condoms yaani watu wana maumbile madogo lakini huwezi amini Bara la Asia ni bara linalopiga hatua kubwa kiuchumi. Na ndio Timu kataa ndoa inakuwa kwa kasi hasa Japan. Kumbe maisha sio sex tu bali yako mengi ya kufanya na hili ni gumu kueleweka kama mtu ni masikini maana watu masikini wanapiga mashine hatari.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Jifunze kudharau kabla haujadharauliwa, ishi ki boss maisha ni mafupi.
 
Hakuna kitu kama hicho, hakuna logic yoyote hapo, mzunguko wa damu mzuri utaisaidia isimame vizuri wakati wa erection, lakini sio kwamba iongezeke size, danganya mjinga mkuu.
Nipe science behind unachokisema hapa kama sio hadithi za abnuwasi.
We ni mpuuzi wa karne, kasome jelqing ni nini kisayansi kwanza.
👉Fatilia Historia ya jelqing, na uthibitisho wa madaktari.
👉Uone ime success kwa watu asilimia ngapi, sio una kuja na bichwa ka papai la kiangazi.
 
Cm 8 kaka
Means ni Inchi 3.5....!

Binafsi tukiwa wadogo, kulikua na majani flani ya mti, tulikua tunaenda kuchanja kwenye Tunda la Madodoki, nimesahau jina, unachagua Size ambayo unataka then unacha kidogo kwenye Shingo ya Uume....! Then yale majani tukichanganya na utomvu wa Dodoki tunapakaza kwenye Chale ndogo....!

Kwa imani za kitoto kwamba kadri lile Dodoki linavyokua ndo Uume utakua mkubwa, tukishakua wakubwa.

So kazi yetu ilikua kila wakati kwenda kutembelea lile Dodoki kuona Maendeleo yake, na Dodoki likikua kwa ukubwa unaoona unafaa, unalikata... Na kwamba ukilikata tu basi Uume wako utaishia Size hiyo...!

Sina Kibamia, ni mrefu kwenda juu na kwenda chini, ila sidhani kama ilikua ni kwa msaada wa lile Dodoki!

All in all hakuna Dawa za kurefusha Uume, maumbile yako ndo vile ulivyoumbwa, ridhika na hari yako!

Pia unaweza kuchagua na wanawake wa kutembea nao, kuna wengine wana Uke Mkubwa, Uke Mrefu, wale Mizigo mikubwa tuachie sisi, kuja wale Slim waachie wengine!

Tafuta size zako wako aina flani ya wanawake wana Uke Mdogo, komaa nao hao.
 
Oya, usitudanganye kisa hiyo biashara yako,..unaposema maumbile yote yapo sawa huo ni uwongo mkubwa sana,....nenda kasome kuhusu "MICRO PENIS'" ndo uje kucoment hapa.

Pia inafikirisha sana kuhusu hayo MADAWA yenu ikiwa tu hata mifumo ya mwili wa binadamu hamuijui...
 
Ukiwa na hela ya kuhonga hata uwe na kibamia watakuambia unawaumiza kwa unavyowapelekesha.
Nakumbuka enzi hizo Niko 17 years nilikua sijajua kuhonga mwanamke Ni kiasi gani, Kuna mmama MTU wa makamo alikua ananisifia Sana, nikaja kugundua nilikua namkatia pochi la nguvu.
 
Ushauri wa bure.
Wenye vibamia achaneni na kutumbukiza yote, wewe hangaika na katerero hapa juu juu ambàko ndio ambàko mwanamke anasikia utamu.
Utanishukuru baadaye.
 
Ridhika tu na na ulichonacho. Hakuna maajabu huko ndani unakotaka kufika.
Kuna kigololi tu.
hahahah we jamaa fala sana,kwamba umeamua kumuhadithia kile ye hawezi kukifikia..
sema ulichomwambia ni kweli hivyo asiwaze sana anachomiss n iko kigoroli,japo kina raha ake ukiwa unapishana nacho muda wa kwenda nakurudi.
 
Nenda instagram mtafute mtu anaitwa ngoshafit atakusaidia hapa utapata kejeli tu..
 
hahahah we jamaa fala sana,kwamba umeamua kumuhadithia kile ye hawezi kukifikia..
sema ulichomwambia ni kweli hivyo asiwaze sana anachomiss n iko kigoroli,japo kina raha ake ukiwa unapishana nacho muda wa kwenda nakurudi.
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…