Nina maumbile madogo ya uume

Nina maumbile madogo ya uume

Mkuu umenifurahisha. Nilikuwa nasoma kuhusu biashara na masoko ya condoms. Kumbe kwa sehemu kubwa ya condoms zinazouzwa nchi za Asia ni small and medium condoms yaani watu wana maumbile madogo lakini huwezi amini Bara la Asia ni bara linalopiga hatua kubwa kiuchumi. Na ndio Timu kataa ndoa inakuwa kwa kasi hasa Japan. Kumbe maisha sio sex tu bali yako mengi ya kufanya na hili ni gumu kueleweka kama mtu ni masikini maana watu masikini wanapiga mashine hatari.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Ni kweli, umaskini na kukosa kazi ndio kunafanya tuwaze ngono na kuitukiza iwe kama ibada kwetu kila saa sisi wazigua.

Utafiti unaonesha IQ inaendana na uume. Mwenye IQ ndogo huwa wana uume mkubwa na wenye IQ na uwezo mkubwa wa kiakili wana uume mdogo. Binafsi huwa nashangaa sana watu wanaolalamikia kuwa wana uume mdogo. Wanataka wagundue nini? Waliouona na kujifananisha na uume mkubwa upi? Porno zinawaathiri sana vijana.
 
Mzee hatari sie wenye vibamia tunadharauliwa sana na hawa wanawake. Mwenzio nilienda mpaka mbeknyera huko kwa mganga nikuze kibamia changu lakini hamna lolote bado kipo vile vile.
Mzee tujikubali tuu imekula kwetu kwenye hiyo sector
[emoji23][emoji23] haijala kwenu ndugu zangu nafasi bado ipooo
 
Ndio umeumbwa hivyoo anasababu na wewe utapata wako mwenye kuwa na ndogo
Mtoa mada dodo limekuangukia komaa na Unique flower mchezo umeisha.

Wewe kibamia na yeye kina kidogo kama anabisha akatae hapa hapa hadharani.
 
Mimi ni kijana ambae niko mtaani nafanya mishe zangu fresh ila kuna jambo linanitatiza sana, mwenye ujuzi naomba anisaidie.

Ni hivi; nina maumbile madogo ya uume mpaka najiogopa. Nimekuwa nikitemwa na kuzarauliwa na kila msichana ambaye nakuwa naye kwenye mahusiano.

Hii hali huwa inanitesa sana, hivyo kama kuna mdau anajua njia bora na ya asili ya kuongeza maumbile anisaidie hii hali haivumiliki wazee.
Biblia inasema MUNGU Atakupa wako wa kufanana naye

I Hope it works out well
 
Mimi ni kijana ambae niko mtaani nafanya mishe zangu fresh ila kuna jambo linanitatiza sana, mwenye ujuzi naomba anisaidie.

Ni hivi; nina maumbile madogo ya uume mpaka najiogopa. Nimekuwa nikitemwa na kuzarauliwa na kila msichana ambaye nakuwa naye kwenye mahusiano.

Hii hali huwa inanitesa sana, hivyo kama kuna mdau anajua njia bora na ya asili ya kuongeza maumbile anisaidie hii hali haivumiliki wazee.
Nenda kwa mganga
 
Hii dunia hii, haipo fea.

Wengine tunaogopa wanawake wafupi cuz huwa ni kulalamika tu tunawatoboa kizazi, mwingine anataka size kubwa.

Ningekugawia hata 1.6 inch nibaki na 6.5, sema ndio hivo haiwezekani.
 
Una umri gani?!
 
😁😁 miyeyusho
 
Back
Top Bottom