Nina maumbile madogo ya uume

Ni kweli, umaskini na kukosa kazi ndio kunafanya tuwaze ngono na kuitukiza iwe kama ibada kwetu kila saa sisi wazigua.

Utafiti unaonesha IQ inaendana na uume. Mwenye IQ ndogo huwa wana uume mkubwa na wenye IQ na uwezo mkubwa wa kiakili wana uume mdogo. Binafsi huwa nashangaa sana watu wanaolalamikia kuwa wana uume mdogo. Wanataka wagundue nini? Waliouona na kujifananisha na uume mkubwa upi? Porno zinawaathiri sana vijana.
 
Mzee hatari sie wenye vibamia tunadharauliwa sana na hawa wanawake. Mwenzio nilienda mpaka mbeknyera huko kwa mganga nikuze kibamia changu lakini hamna lolote bado kipo vile vile.
Mzee tujikubali tuu imekula kwetu kwenye hiyo sector
[emoji23][emoji23] haijala kwenu ndugu zangu nafasi bado ipooo
 
Ndio umeumbwa hivyoo anasababu na wewe utapata wako mwenye kuwa na ndogo
Mtoa mada dodo limekuangukia komaa na Unique flower mchezo umeisha.

Wewe kibamia na yeye kina kidogo kama anabisha akatae hapa hapa hadharani.
 
Biblia inasema MUNGU Atakupa wako wa kufanana naye

I Hope it works out well
 
Nenda kwa mganga
 
Hii dunia hii, haipo fea.

Wengine tunaogopa wanawake wafupi cuz huwa ni kulalamika tu tunawatoboa kizazi, mwingine anataka size kubwa.

Ningekugawia hata 1.6 inch nibaki na 6.5, sema ndio hivo haiwezekani.
 
Una umri gani?!
 
Hii dunia hii, haipo fea.

Wengine tunaogopa wanawake wafupi cuz huwa ni kulalamika tu tunawatoboa kizazi, mwingine anataka size kubwa.

Ningekugawia hata 1.6 inch nibaki na 6.5, sema ndio hivo haiwezekani.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ miyeyusho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ