Nina maumbile madogo ya uume

Nina maumbile madogo ya uume

Jikubali mkuu hayo mavitu unatafuta yatakuletea shida.
Na wengi wanaohibiri kutibu hizo mambo ni matapeli.Utaliwa vihela vyako bure.Jikubali,ndo ulivyo umbwa tulia,maisha yana mengi mazuri zaidi ya mdushe mkubwa.
Wala usipate stress za kutafuta hela ili upendwe na wanawake.Tafuta hela kwa manufaa yako.Utampata tu wa kukukubali ulivyo.
Umenena ukweli mtupu,,that's it ,kama ni hela tafuta kwa manufaa yako ,kwa kua maisha yako yashakua hivyo ukimpata ataekupenda hivyo ulivyo sawa usipompata basi,
 
Shida una ujuuaji wa kipuuzi, ngoma huwa Ina ongezeka Kutokana na mzunguko mzuri wa damu.
👉Hiyo Tiba Ime saidia wengi, nilio ona wame tibiwa.
👉Tena hapo Sija semea kitu myegea, Kama hujui tulia
Hamna kitu ,, ongeza urefu wa kimo basi kama wewe una futi 5 7" ongeza uwe futi sita, afu unapiga na biti kabisa eti kama hujui tulia
 
Mkuu usihangaike na hiyo changamoto kwa sababu iko nje ya uwezo wako na unaumiza kichwa bila sababu. Unaumizaje kichwa kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke na kuumiza moyo wako? Usifiche tatizo,ukipata demu kaa naye chini mjadili hiyo changamoto yako. Ukokosa wewe hakikisha unakua na hela zako uzae watoto wako ulee wakiwa kwa mama zao ufurahie maisha yako.

Nasisitiza uache kuumiza kichwa ili kuwafurahisha wanawake huku ukiharibu maisha yako!
Umesema sahihi kabisa,, mwambie Huyo mwenzi wako kama atakubaliana na wewe ishi nae akikataa basi ndo maisha yenyewe haya
 
Kwanza hakuna maumbile madogo au makubwa , yote ni sawa ,kwa hiyo ondoa hiyo dhana na futa kabisa kwenye kichwa chako , na hii huenda inakuletea hofu

2. Katika asili tunachoangalia ni je unafanya Kazi sawasawa , Uume unasimama vizuri ( Energy interactions / Communications )

By Joseph Mwabange from Xianhe international or Heshoutang Natural health system

Not:
Kama Erection ipo yaani uume husimama lakini ukianza kufanya mapenzi ndani ya dk 1 umemaliza na huwezi rudia tendo , basi hiyo ni shida

Au uume hausimami vizuri yaani haukazi , na kusimamia show ni dk 5 kurudi chini , pia ni shida kidogo
Mwanaume kiwango cha kufanya mapenzi ni kuanzia dk 5 kwenda juu
Pia hii hulingana na umri pia

Ili kutunza afya yako unatakiwa kufanya mapenzi Kama ifuatavyo:

[emoji117]3 times per week: < 30 years old
[emoji117]2 times per week < 40 years old
[emoji117]1 time per week < 50 years old

[emoji117]2 times per month < 60 years old
[emoji117]1 time per month < 70 years old

NB: Afadhali kutofanya sex ufikapo miaka 70

Mfumo unao control sex ni mfumo wa Figo , kwa hiyo tunaangalia Nishati / Energy ya mfumo wa Figo ( Figo & Kibofu )

Kuna mambo mengi ya kuhakikisha :
1. Nishati ya Figo
2. Mzunguko wa damu

Nishati ya Figo Kama ipo chini , Tunarudishia , Kisha Figo itafanya Kazi vizuri , hata kwa wale Figo zimefeli , maana yake zimekosa nishati , Tunarudishia nishati ,inarudi kwenye uzima wake !

Mzunguko wa damu ni muhimu sana kuhakikisha upo sawa kwa tatizo lolote la binadamu , maana kwenye damu ndio kuna virutubisho vyote , kuketa uponyaji

Kwa hiyo lazima kuvunja mikwamo kwenye mishipa na kufungua mishipa ili damu iweze safiri vizuri na kufikia mifumo na kuleta uzima zaidi

Kwa kanuni hiyo ,mwili unarudia asili yake na kuponya kila ugonjwa ,

Sex utafurahia kwa kiwango cha juu !

Hizi dawa za kuongeza nguvu za kiume , au kuongeza uume , unajiua mwenyewe , maana sio suluhisho na zinaenda kinyume na utendaji wa mfumo wa mwili wako !

Kwa matibabu ya magonjwa mbalimbali au matatizo ya kiafya ,wasiliana nasi

+255757577995 View attachment 2865573
Hapana ukweli uwe ukweli maumbile madogo yapo na makubwa yapo pia.
 
Sio kweli acha kumfariji uongo. Wanawake ni washenzi na walaghai wanajua udhaifu wetu ni wao so usimdanganye, mim inafika nchi 7 unene uhakika naelewa heshima nayoipata kw wanawake



Hapo zaid utachunwa pesa zako tu na kibamia chako


Pambana kikue kdg mzee.... Muhmu sn
Umesema ukweli,ila hapo kwenye kupambana ikue hamna uwezekano huo ,,yeye atafute peace of mind aishi
 
Imesema inchi name au sentimita name ikisimama?
Hii study imefanyiwa wazingu, wapare na wachina. Inchi tano ikiwa imesimama kwa mswahili bado Ni kibamia.
Ina maana Wapare ni kama Wachina kwa viba100 ?
 
Mimi ni kijana ambae niko mtaani nafanya mishe zangu fresh ila kuna jambo linanitatiza sana, mwenye ujuzi naomba anisaidie.

Ni hivi; nina maumbile madogo ya uume mpaka najiogopa. Nimekuwa nikitemwa na kuzarauliwa na kila msichana ambaye nakuwa naye kwenye mahusiano.

Hii hali huwa inanitesa sana, hivyo kama kuna mdau anajua njia bora na ya asili ya kuongeza maumbile anisaidie hii hali haivumiliki wazee.
hii ni shida inamkabili ndugu yangu na mpaka sasa tumeshindwa kupata majibu
 
Base sana kutafuta sana hela,piga nyeto sana,penda kujifurahisha mwenyewe maisha yenyewe mafupi haya kijana
 
UKUBWA WA UUME

Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi.

Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa na maumbile mazuri na kwamba wanakuwa ni wenye kuvutia muda wote. Ni kawaida kukuta chumbani kwa mwanamke vipodozi vingi vya kila namna na ukakuta mafuta ya aina moja tu kwenye chumba cha mwanaume.

Wapo wanaume wachache sana ambao wamebarikiwa kuwa na uume mkubwa kwa asili. Aina ya maisha unayoamua kuishi yanaweza kuathiri ukubwa na uimara wa uume wako. Kwahiyo ikiwa una shaka kidogo juu ya ukubwa wa uume wako fanya mambo 10 yafuatayo kuongeza ukubwa wa uume kwa asili.

Mwanamke yeye huwa na uke wenye urefu wa inch 4 ingawa unaweza kuongezeka ukubwa kutegemea na namna anavyoandaliwa au mwanaume mwenyewe alivyo.

Kwa watu wazima, wastani wa ukubwa wa uume uliosimama ni kati ya inch 3.9 mpaka 5.8. Wapo pia wanaume wachache ambao kwa asili wana uume wa ukubwa wa inch 7 au 8.

Uume unachukuliwa kuwa mdogo ikiwa uko chini ya inch 4 ukiwa umesimama. Usiwaze ukubwa wa uume ukiwa umelala. Kuna wanaume wa aina mbili, kuna wale ambao uume ukiwa umelala huonekana ni mkubwa lakini uume utakaposimama hauwi mkubwa sana na kuna wale ambao uume ukiwa umelala uume wao unaonekana ni mdogo sana na ndiyo hao ukisimama unakuwa mkubwa zaidi hata ya wale ambao ukiwa umelala unaonekana ni mkubwa. Hivyo ukiona uume wako umelala na unaonekana ni mdogo sana usiwaze, ni hali ya kawaida, unatakiwa uwaze ukiwa umesimama kabisa.

Kanuni mhimu 10 ili kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

1. Acha kuvuta sigara

Moshi na kemikali za kwenye sigara hujirundika kwenye mishipa ya damu (ateri). Hii ndiyo sababu uvutaji sigara una uhusiano mkubwa na ugonjwa wa moyo. Usambazwaji mdogo wa damu kwenye ogani hizo mwilini husababisha ufanyaji kazi wa chini ya kiwango wa ogani husika. Kumbuka uume umeundwa kwa mishipa mitupu ya damu, hakuna mfupa kwenye uume. Kama damu haitembei kwa uhuru wote katika ogani kadhaa mwilini na kwenye mishipa ya damu kwa ujumla uume wako nao unaweza kuathirika ukubwa wake.

2. Fanya mazoezi ya viungo mara nyingi

Kutengeneza mishipa na kupunguza uzito isiwe ndiyo sababu pekee ya kwenda gym. Kama unahitaji uume wenye afya au uume mrefu, unahitaji kujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ili kusafisha mishipa ya damu na hivyo kuongeza kiasi cha utiririkaji wa damu kwenda kwenye uume.

Kama uzito wako upo juu sana na ni mnene fanya mazoezi ya kukimbia (jogging) kila siku kwa mwezi mmoja mpaka miwili. Kama uzito wako upo sahihi tu kwa mjibu wa urefu wako fanya sana mazoezi ya kuchuchumaa na kusimama. Una chuchumaa na kusimama mara 25 mpaka 30, unaweza kupumzika dakika mbili unaendelea tena kuchuchumaa na kusimama hivyo hivyo unapumzika dakika 2 mpaka mizunguko (round) 5 kila siku.

3. Epuka vyakula vyenye mafuta sana

Kula kwa wingi vyakula vyenye mafuta sana hupelekea kuongezeka kwa uzito na unene na matokeo yake unaweza kupatwa na magonjwa ya moyo na kupungua kwa ukubwa wa uume. Kutokutenga muda kwa ajili ya mazoezi huongeza kolesto katika ateri za damu na kupelekea kupungua kwa msukumo wa damu kwenda kwenye uume. Kwahiyo acha kula kula vyakula feki (junk foods) ili uwe na uume wenye afya ya kutosha.

4. Kula sana matunda na mboga za majani

Kula sana mboga za majani na matunda yenye sifa kubwa ya kuondoa sumu na taka mwilini. Mazoea haya husaidia mwili kupigana na vijidudu nyemelezi na kuongeza afya katika ateri za damu. Kwahiyo unaweza kuongeza kimo cha uume wako kwa kuamua kula mboga majani na matunda ili kuondoa sumu na taka nyingine zisizotakiwa mwilini.

5. Ondoa kitambi

Kuwa na kitambi au tumbo kubwa ni sababu inayofanya uume uonekane ni mdogo. Hata kama una uume mkubwa kwa asili ukianza tu kufuga kitambi uume utaanza kuonekana ni mdogo. Kuondoa kitambi soma dondoo namba 2 hapo juu au kama umefanya kila jitihada kuondoa kitambi na umeshindwa nitafute.
wa.me/255656303019

6. Punguza mawazo

Hamaki na mawazo mengi (stress) hupunguza ukubwa wa uume kwani mawazo hasi au stress inapozidi na kudumu kwa muda mrefu huondoa damu kutoka kwenye uume na kupelekea ugumu kwa ukuaji wake. Pia woga au wasiwasi wa kutokumfikisha mwenza wako unapodumu muda mrefu ni sababu ya kuwa na uume mdogo.

7. Oga maji ya moto

Hali ya ubaridi sana hupelekea kupungua kwa ukubwa wa uume, kwahiyo kama unaishi sehemu yenye baridi sana jitahidi uwe unaoga maji ya moto kila mara au muda mchache kabla ya kwenda kushiriki tendo la ndoa ili kuuweka mwili wako ni wa moto ili kuongeza msukumo wa damu mwilini na kwenye uume kwa ujumla.

8. Shiriki tendo la ndoa mara nyingi

Kuna stori zinasema twiga hakuzaliwa na shingo ndefu namna hii kama anavyoonekana akiwa mkubwa, bali wanasema ile tabia yake ya kupenda kula majani ya juu ya miti ndiyo ikapelekea shingo yake ikarefuka!. Inawezekana kuna ukweli kidogo wa stori hizi. Usinielewe vibaya wala usije ukasema huyu jamaa anahamasisha watu kufanya mapenzi! Hapana usiwe na haraka hivyo utanielewa tu ninachotaka kusema

Wanasayansi wa masuala ya mapenzi wanasema ikiwa mtu mzima hana msongo wowote wa mawazo (stress), ana afya nzuri tu ya kutosha na anakula vizuri basi anaweza kushiriki tendo la tendo kila baada ya masaa 24. Angalia na umsome pia mwenza wako pia angalia umri wako, sababu kuna wanawake wengine kwa asili hawapendi kushiriki tendo la ndoa kila mara pia hatuwezi kusema mtu mwenye miaka 50 atakuwa na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kila mara kama mtu wa miaka 18 hadi 40 hivi.

Ni vigumu mtu anakaa mwenzi mzima mwingine miezi miwili mwingine anakaa miezi 6 bila kushiriki tendo la ndoa na utegemee utakuwa na uume mzuri na wenye afya. Kama hushiriki tendo la ndoa kuna uwezekano mkubwa ukawa unapiga punyeto kitendo ambacho ni kibaya zaidi kwa afya ya uume wako. Kwahiyo unaweza kushiriki mara 2 hadi 3 kwa wiki na unaposhiriki tuliza akili na upate muda wa kutosha siyo haraka haraka tu (short time).

9. Tafuta wa saizi yako

Ni ukweli uliowazi kwamba kamwe hatuwezi kuwa sawa kwa kila kitu. Kuna msemo wa wahenga pia unasema waacheni wafu wawazike wafu wenzao, kadharika hata katika suala hili la tendo la ndoa mwanaume ifike wakati uamini kwamba kuna wanawake wengine si saizi yako, wapo wanaume kwa ajili yao. Hivyo jiangalie mwenyewe na umtafute mwenza ambaye anaendana na wewe.

Wakati mwingine unaweza kupata mwenza ambaye ni saizi yako lakini sababu ya mabadiliko ya kimwili na kihomoni inatokea naye anakuwa anakuzidi, ikikutokea hivi usimwache, njoo uonane na mimi zipo dawa za asili maalumu zinazoweza kurudisha uke katika umbo dogo na unaobana vizuri kama mwanzo. Au utaona aibu tena! Kuna namna ya kuongea naye.

10. Tumia mitishamba ambayo haina madhara

Ndiyo mitishamba, kuna baadhi ya mitishamba inayoweza kurekebisha mzunguko na msukumo wa damu yako na hatimaye kuongeza ukubwa wa uume. Uwe makini sana hapa kwani unaweza kusababisha hatari zaidi hapo baadaye ukienda kwa pupa. Usitumie dawa zinazoahidi kukuongezea urefu au ukubwa sana wa uume bila kujuwa nini madhara yake hapo baadaye, epuka pia dawa zenye kamikali kwa ajili hiyo.

Jambo la mhimu

Badala ya kuwa bize na ukubwa wa uume wako, jitahidi kutafuta G-spot ili uweze kumchezea mwenza wako katika maeneo yanayomsisimua zaidi. Kumchezea mwenza wako ni muhimu sana ili aweze kufikia kilele.

Kama utahitaji dawa ya asili ili kuongeza ukubwa kidogo wa mheshimiwa, nitafute kwenye WhatsApp.
wa.me/255656303019
unatumia siku 21.

Kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali ya kibaiolojia na yakiroho wasiliana nami.
What's app/call
+255656303019
CHIEF SANG'IDA
 
Back
Top Bottom