Kinamba namba
Member
- May 27, 2023
- 7
- 13
UPDATED 18 JAN 2025
GOD BLESS ME
GOD BLESS ME
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana,Ninaandika haya nikiwa na maumivu makubwa moyoni, nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru lakini sijathubutu na kwa bahati mbaya niliruhusu kufa kiume na changamoto zangu lakini nimeshindwa
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 29 mwenyeji wa Kibondo-Kigoma kwa sasa Nipo Dar
Tatizo langu
Tangu October 2023 Nimepata changamoto kubwa sana za kifedha zilizoniharibia mipango yangu kwa ujumla na kuniacha na deni la Tsh 1.9M naishi kama chokoraa
I swear, KUNA muda ninapata wazo la kufanya CHOCHOTE ili nipate pesa ikiwemo HATA pesa za manyoka
Nimeamka usiku huu nikapata wazo la kunywa vidonge zaidi ya 10 vya Panadol, namshukuru Mungu nimeweza Kupambana na Hilo pepo
SIKO SAWA WAKUU
LENGO LA KUANDIKA HAPA NI LUUONYESHA ULIMWENGU NACHOPITIA Pengine HATA nikipotea nitatua mzigo kwa namna Moja ama nyingine
NIMESURRENDER
MAISHA YANGU YAMEHARIBIKA, YAMEKUFA
Huyo mke wake mzuri azingatiweKujiua ni dhambi kubwa mno. Hata jirani yangu kajiua Jana asubhi Ile natoka kazini nakuta msiba Leo wanasafirisha kwenda ukerehe.kaacha Watoto 4 na mke wake mzuri tu.
Jipe moyo. Usikate tamaa. Fanya sana ibada. Pole sana.Ninaandika haya nikiwa na maumivu makubwa moyoni, nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru lakini sijathubutu na kwa bahati mbaya niliruhusu kufa kiume na changamoto zangu lakini nimeshindwa
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 29 mwenyeji wa Kibondo-Kigoma kwa sasa Nipo Dar
Tatizo langu
Tangu October 2023 Nimepata changamoto kubwa sana za kifedha zilizoniharibia mipango yangu kwa ujumla na kuniacha na deni la Tsh 1.9M naishi kama chokoraa
I swear, KUNA muda ninapata wazo la kufanya CHOCHOTE ili nipate pesa ikiwemo HATA pesa za manyoka
Nimeamka usiku huu nikapata wazo la kunywa vidonge zaidi ya 10 vya Panadol, namshukuru Mungu nimeweza Kupambana na Hilo pepo
SIKO SAWA WAKUU
LENGO LA KUANDIKA HAPA NI LUUONYESHA ULIMWENGU NACHOPITIA Pengine HATA nikipotea nitatua mzigo kwa namna Moja ama nyingine
NIMESURRENDER
MAISHA YANGU YAMEHARIBIKA, YAMEKUFA
Pole sana kijana ila nakushauri usiwaze hata kidogo kujidhuru kwa ajiri ya milioni mbili . Wewe bado kijana kuna mamilioni kama sio mabilioni yatapita mikononi mwako.Ninaandika haya nikiwa na maumivu makubwa moyoni, nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru lakini sijathubutu na kwa bahati mbaya niliruhusu kufa kiume na changamoto zangu lakini nimeshindwa
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 29 mwenyeji wa Kibondo-Kigoma kwa sasa Nipo Dar
Tatizo langu
Tangu October 2023 Nimepata changamoto kubwa sana za kifedha zilizoniharibia mipango yangu kwa ujumla na kuniacha na deni la Tsh 1.9M naishi kama chokoraa
I swear, KUNA muda ninapata wazo la kufanya CHOCHOTE ili nipate pesa ikiwemo HATA pesa za manyoka
Nimeamka usiku huu nikapata wazo la kunywa vidonge zaidi ya 10 vya Panadol, namshukuru Mungu nimeweza Kupambana na Hilo pepo
SIKO SAWA WAKUU
LENGO LA KUANDIKA HAPA NI LUUONYESHA ULIMWENGU NACHOPITIA Pengine HATA nikipotea nitatua mzigo kwa namna Moja ama nyingine
NIMESURRENDER
MAISHA YANGU YAMEHARIBIKA, YAMEKUFA
Eee hiyo ni haki ya Kila mwanaume rijali.Huyo mke wake mzuri azingatiwe
Nipe namba ya mke wako ili nimfariji baada ya kukuzika , hata kama Una mchepuko nipe namba yakeNinaandika haya nikiwa na maumivu makubwa moyoni, nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru lakini sijathubutu na kwa bahati mbaya niliruhusu kufa kiume na changamoto zangu lakini nimeshindwa