Ninaandika haya nikiwa na maumivu makubwa moyoni, nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru lakini sijathubutu na kwa bahati mbaya niliruhusu kufa kiume na changamoto zangu lakini nimeshindwa
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 29 mwenyeji wa Kibondo-Kigoma kwa sasa Nipo Dar
Tatizo langu
Tangu October 2023 Nimepata changamoto kubwa sana za kifedha zilizoniharibia mipango yangu kwa ujumla na kuniacha na deni la Tsh 1.9M naishi kama chokoraa
I swear, KUNA muda ninapata wazo la kufanya CHOCHOTE ili nipate pesa ikiwemo HATA pesa za manyoka
Nimeamka usiku huu nikapata wazo la kunywa vidonge zaidi ya 10 vya Panadol, namshukuru Mungu nimeweza Kupambana na Hilo pepo
SIKO SAWA WAKUU
LENGO LA KUANDIKA HAPA NI LUUONYESHA ULIMWENGU NACHOPITIA Pengine HATA nikipotea nitatua mzigo kwa namna Moja ama nyingine
NIMESURRENDER
MAISHA YANGU YAMEHARIBIKA, YAMEKUFA