Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Usijiue bwana, kuna watu wanadaiwa mabilioni na wanakunywa wisky zao zinashuka vizuri. Kila mtu ana matatizo yake, usione watu wanafurahi, kucheka na kula bata. Wakikwambia matatizo yao, utajiona wewe huna tatizo.
Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu, chukulia hilo deni kama changamoto tu, Mungu hufanya njia pasipo na njia. Utakuja kumaliza hilo deni, na kujiona hukuwa sawa kuwaza kujiua.
Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu, chukulia hilo deni kama changamoto tu, Mungu hufanya njia pasipo na njia. Utakuja kumaliza hilo deni, na kujiona hukuwa sawa kuwaza kujiua.