Nina maumivu makubwa moyoni, hadi nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru

Ukitaka kujiweka sawa, ongea na watu mbalimbali juu ya mikasa yao ya maisha. Utagundua wewe tatizo lako lina nafuu. Jipe moyo MUNGU yupo kazini muda wote, kila kitu kitakaa sawa.
 
Hapo kwenye hela za manyoka imeonesha kichwani hauko sawa, ujinyonge kisa kudaiwa??
 

Ndugu yangu, unaweza kudhani una tatizo kubwa lakini wewe huna shida... kuna watu wana shida.. nakupa mfano kuna jamaa leo hii ni mgonjwa wa ugonjwa mbaya usiopona, ana mke ambaye amemfukuza na huyo mke kauza mali za jamaa ikiwa magari na nyumba jamaa akiwa hoi.. sasa ana nafuu kapelekwa ustawi hapeleki matumizi kwa watoto, jamaa anapambana kulipa ada za watoto na hana kazi. Wewe una nguvu afya njema unataka kujiua?
 
Kijana una 29yrs na deni la tsh1.9m unataka kujiua?, acha mawazo ya hovyo na kitoto hayo, acha Mwenyezi Mungu mwenyewe akuchukue siku akipenda mwenyewe.

Kuna jambo linalonihusu sipendi Sana kulishare humu japo kuna siku nilitereza kumsaidia mtu kama wewe, PAMBANA KIJANA DUNIA HAIJAWAHI KUWA RAHISI, MAGUMU YAPO KILA MAHALA.
 
Kaza bro,kote kugumu....sema hatuongei tu....
Naomba usife kizembe at least fanya hata ujambazi ukafie kazini mkuu, please
 
AHSANTE KWA MAWAZO YENU NA MICHANGO KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE IMENITULIZA, ILA NIKIRI KWAMBA KIAKILI SIPO SAWA
 


Deni la Tshs 1.9 M unataka kujiua..?

Una akili fupi sana, kwa akili ndogo hivyo bora ungekunywa hizo dawa uwahi mapema uache dunia hii
 
Nakumbuka pia bibi yangu hakuwacakiogopa madeni hata kama anadaiwa 5M na inamtesa kulipa ukija kumpa pesa yako ati akuwekee mahali salama kisa unaona hana mambo mengi, sijui mama ataitunza tu basi umemkopea hiyo, anaiingiza kwenye biashara zake, hakai na pesa acha adaiwe tu.

Pesa za hao vikoba akishika yeye, anaziingisha kwenye biashara zake wakizitala atapapatika mpaka awape πŸ˜‚πŸ˜‚.
Yale maisha ya kashkash na umri wake vijana wengi wangeshindwa, ni risk taker mmoja hatari kabisa.

Sometimes haya mambo labda born talented mkuu, mwingine kudaiwa laki tu anahaha balaa, ila mwingine hana hata chanzo cha mapato na anadaiwa milioni na bado anataka kukopewa tena.
 
[emoji419][emoji375][emoji375][emoji123]
 
Pesa ndogo hiyo mzee. Na wanaokudai ni binadamu hawawezi kukuua. Dunia hii hakuna binadamu mwenye akili timamu hadaiwi. Tunachotafautiana ni viwango kulingana na uwezo tulionao. Kuhusu deni ni kuzungumza na wahusika usiogope aibu. Wewe ndio unajua ukweli na utatoka vipi.
1.9M haifanani na thamani ya uhai wako kwako mwenyewe na kwa wengine.

Mimi nimepitia hiyo hali hivi karibuni ilikuwa ngumu kwelikweli maana deni lilikuwa milioni kadhaa lakini kuwaza kujidhuru haikuwahi kuingia akilini. Nimeanza kupunguza baada ya miezi saba kupita. Pambana na maisha ndio ukomavu wa akili
 
Mtaji nambari moko ni afya man, kama uko njema basi shukuru Mungu, deni haliui.

Na siku zote jiweke wewe kwanza, sio umepata kwa mkupuo hiyo 1.9M ukimbilie kumlipa mdai na kibaba cha unga ndani huna.
Komaa kwanza ujijenge wewe sio kuwaza unalipaje deni na wewe una hali tete.
 
Pole Sana je tukutafutie kibarua cha kufanya ili upate kujikimu na kulipa Deni taratibu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…