Nina maumivu makubwa moyoni, hadi nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru

Usijiue bwana, kuna watu wanadaiwa mabilioni na wanakunywa wisky zao zinashuka vizuri. Kila mtu ana matatizo yake, usione watu wanafurahi, kucheka na kula bata. Wakikwambia matatizo yao, utajiona wewe huna tatizo.

Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu, chukulia hilo deni kama changamoto tu, Mungu hufanya njia pasipo na njia. Utakuja kumaliza hilo deni, na kujiona hukuwa sawa kuwaza kujiua.
 
nyie wote mliomshauri huyu bwana hamjamsaidia maneno matupu hayavunji mfupa huyu tumchangie hela ya kununua sumu kama kuna mdau anajua sumu ya kuua fasta alete mchango wake watu wapumbavu unadeal nao kikumbavu Ubaya Ubwela.
 
Hio hali unayopitia ni Depression/ sonona. Hutokana na mtu akipata changamoto inayomdidimiza na kumrudisha nyuma kimaisha mfno msiba, kufirisika nk
Huambatana na Suicidal thoughts/ mawazo ya mtu kujidhuru. Dalili zake hua ni

1 kupoteza furaha maishani
2. Kupoteza hamu ya kula
3 kupoteza interst na motivation ya kufanya kitu chochote
4 Insomnia kupotea kw usingizi
Ndo hufatiwa na mawazo ya kujiua au kujidhuru
Tafta mtu uongee nae akusapoti hata kifedha maana hapo ushaanza kupata changamoto zinazo didimiza Afya ya akili
 
Pole sana Kijana, kujiua sio mwisho wa maisha, hakuna jambo jema linalokuja pasipo kuwa na sababu zake. Maumivu na magumu unayoyapitia ndio furaha yako ya kesho.

Vumilia tu madeni sio kifungo au gereza ni kawaida sana kudaiwa, una afya njema, unapumua, unasikia na unatembea mshukuru Mungu kwa hayo. Halafu jifunze kuwa mtu wa shukrani sio kulalamika tu.
Pitia huu uzi wangu, utakubadilisha fikra

Thread 'Nukuu 6 za kurejesha hamasa na matumaini pale maisha yanapokua tofauti na matarajio' https://www.jamiiforums.com/threads/nukuu-6-za-kurejesha-hamasa-na-matumaini-pale-maisha-yanapokua-tofauti-na-matarajio.2061818/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…