chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Nimekua nilitengeneza kanuni ya hesabu kwenye bahati nasibu ( nina background nzuri sana kwenye hesabu takwimu na namba )
Kanuni moja wapo imenionyesha matokeo ambayo sikuyatarajia. Hii kanuni nimekua nikiitengeneza kwa zaidi ya miaka mitatu ambapo nilokua niki i refine
Saivi naweza kusema kuwa imekamilika baada ya kuijaribu na kuitumia kwa miezi kadhaa. inakupa uhakika wa asilimia 98 ya kushinda.
Pia ili kuwakwepa kampuni za betting, kanuni hii inakuwezesha kutumia kampuni tatu tofauti ( ni kama una wa betisha wao )
Lakini pia cha muhimu kukijua ni kwamba hii kanuni haiwezi kukufanya u double account yako ndani ya siku moja. itakuchukua zaidi ya wiki mbili
Mfano ukiwa na buku kufikisha buku mbili. au ukiwa na laki kufikisha laki mbili, au ukiwa na 1M kufikisha 2M. hii kanuni haikuwezeshi kufikisha kwa siku moja. inabidi kuwa na uvumilivu kwani inachukua zaidi ya wiki 2 hata mwezi au hata miezi 2
Lakini hii kanuni sidhani kama nitaigawa bure ingawa nina wiwa ku share na wadau mbalimbali
Pia unaweza kuitumia kwenye dubu la mchina lile ambalo sio digital. ( yale ya zamani )