Nina miaka 15 ndani ya JamiiForums

Nina miaka 15 ndani ya JamiiForums

Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki.

Huu ni mwaka wa kumi na tano ndani ya jamii forum......(si mchezo)..

Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana.

Na wale tunaopishana kimtazamo au mawazo hapan'shaka twasameheana manake kiukweli binadamu tuna mapungufu na mie njia ya kuondoa hasira ni kutoa tusi kidoogo..hivyo soree.

JF HOYEE
Msameheane Kwa Ajili ya nini? Wapi imeandikwa ni lazima muwe mnafanana mitizamo au mawazo?

Mwisho jf Haina Msaada wowote hata ungekuwa na miaka 30 humu jukwaani
 
Back
Top Bottom