Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Nani amekuambia kuwa watu wana sex na wanawake? Ni dhambi usijekujaribu na siku ukijaribu utakufa hakika, wewe piga nyeto tu ndiyo mpango mzima.
 
Ongera sana! Hilo jambo linaitwa tendo la ndoa. Limehalalishwa kwa wanandoa tu. Nje ya hapo ni mikosi, majanga, mabalaa tupu, na upotevu wa fedha. Ngono, uzinzi, na uasherati hauna faida yoyote. Hata hivyo, angalia usije ukawa unapiga punyeto ambayo ni mbaya zaidi ya ngono. Punyeto anaharibu ubongo!
Shukrani Mkuu
kuna mshangazi alikuwa anatafuta mwanaume bikra
Hahahahaha Mashangazi HAPANA
 
Practical lazima tuonane live.😅 kuna vitu vya kushikashika kama vile gear, steering wheel, kufanya crunch hivo lazima viwe live.
Huko Pm namfundisha alama za barabarani na rangi zake😂
Nipe location nije aisee nina uhitaji zaidi upande wa practical..........
 
Back
Top Bottom