Navigator Paul
Member
- Mar 12, 2025
- 46
- 64
- Thread starter
- #81
Hapana Hiyo Elimu Niliipata Muda Madharau Yake Piavp kuhusu kujichukulia sheria mkononi dogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Hiyo Elimu Niliipata Muda Madharau Yake Piavp kuhusu kujichukulia sheria mkononi dogo?
Watatu TuUmepanga kuwa na watoto wangapi?
Usijaribu kusex mazee, kwanza k inaunguza...
Unamaanisha Nini KiongoziWe si mtoto wa 2000+ kabisa,we ngoja ukue
Kabisaa, wee endelea kumsubiri.Akiamka atakuja
Mhhhhh Sawa Mkuuhahaha20 tu ,wengine tuna kimbilia 33 na hatujawahi na mjegeje uko fresh tu,ukiweza kukontrol hisia umewin ila nafurahi kuona tuko wengi
Nipo Hapa Tayari Mkuu
Nani amekuambia kuwa watu wana sex na wanawake? Ni dhambi usijekujaribu na siku ukijaribu utakufa hakika, wewe piga nyeto tu ndiyo mpango mzima.Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Umemaanisha Nini MkuuKawaida tu dogo hata mimi ni kama wewe tu sahivi na miaka 28 ila nimejaza tax 1 tu wakati wenzangu wamejaza Shabiby 3
Mkuuu Mbona Ina Madharau Makubwa Sana Hiyo NasikiaNani amekuambia kuwa watu wana sex na wanawake? Ni dhambi usijekujaribu na siku ukijaribu utakufa hakika, wewe piga nyeto tu ndiyo mpango mzima.
Nipp Hapaaa WakuuMuanzisha mada unatakiwa kujibu coment za wadau ili wajue kama una tatizo au ni kawaida sasa unapo kaa kimia tutashindwa kukusaidia.
Yes Anawika Sina Tatizo Kwenye HiloJogoo anawika kwanza?
Shukrani MkuuOngera sana! Hilo jambo linaitwa tendo la ndoa. Limehalalishwa kwa wanandoa tu. Nje ya hapo ni mikosi, majanga, mabalaa tupu, na upotevu wa fedha. Ngono, uzinzi, na uasherati hauna faida yoyote. Hata hivyo, angalia usije ukawa unapiga punyeto ambayo ni mbaya zaidi ya ngono. Punyeto anaharibu ubongo!
Hahahahaha Mashangazi HAPANAkuna mshangazi alikuwa anatafuta mwanaume bikra
SijawahiHata NYETO hunawahi piga kaka?
Yes Mkuuu2003
Kumbe inaeezekanaInawezekana mimi nilikaa miaka 25 bila ya kusex na yoyote.
Yote Hayo Sina MkuuuKama kweli hajawahi kusex basi ana mambo mawili
1. Ni bingwa wa punyeto
2. Ndoto nyevu ni sehemu ya maisha ake
Kabisa 🪑
Nipe location nije aisee nina uhitaji zaidi upande wa practical..........Practical lazima tuonane live.😅 kuna vitu vya kushikashika kama vile gear, steering wheel, kufanya crunch hivo lazima viwe live.
Huko Pm namfundisha alama za barabarani na rangi zake😂