Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shida yoyote,mi nilianza nikiwa, na, 27! Siku ya, kwanza, nilienda kavu kavu, angekuwa na ngoma,ningekwisha, we bado kijana, Sana, achana na, hsyo Mambo, unless unataka, kuoa,piga kazi, cheza ball, nenda gym, ikibidi tafuta ka dem kazuuri, usiende kwa wanaojiuza, ila be careful kuna ngoma, na maginjwa kibaoWakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Alipatikana ila sasa naongea sana nimemziriaSweetyCandy bikira wa kiume amepatikana au ulishapata?
UtampaNjoo Pm nikufundishe.
Mafunzo natoa bure mdogo wangu.
Sio lazima ujikite kwenye mambo ya mapenzi.Wewe ni mfano mbaya kabisa katika ishu za mapenzi, unatembea na damu za watu mikononi.
Aseme anataka niniUtampa
hahhhahah ngoja namim nije PM madame nipate mafunzoKwa hiyo wamaanisha ni lazina iwe practical hapo.
Asa itakuwaje 🤔 na yeye yuko mkoa mwingine?
Tunaanzia Pm kwanza, akivuka stage ya darasani huko Pm, lazima tukutane live kwa ajili ya vitendo.
Kijiji gani hiko nisogee?Sio lazima ujikite kwenye mambo ya mapenzi.
Kuna mashamba kijijiji kibao hayana wamiliki, unaweza kwenda kujichagulia linalokufaa na ukafanya kilimo cha manufaa.
[emoji23][emoji23] wengine hadi miaka 17 tushajua machimbo yote ya papuchi enzi hizo buku 3000 enzi hizo hatujui badoo na telegram na exotic TzMiaka 22 mkuu hujagegeda alooo. Ungesema makuzi yako na maisha unayo ishi tungejua tatizo. Maana mm kwenye umri huo nilikua nishakula hadi ma baa medi yani, umalaya huu[emoji23]
Naanza na mgeni kwanza, nyie wengine mtanitoa rohohahhhahah ngoja namim nije PM madame nipate mafunzo
Kijiji cha permanidesKijiji gani hiko nisogee?
The devil incarnate....Sio lazima ujikite kwenye mambo ya mapenzi.
Kuna mashamba kijijiji kibao hayana wamiliki, unaweza kwenda kujichagulia linalokufaa na ukafanya kilimo cha manufaa.
Madam madam 😂Njoo Pm nikufundishe.
Mafunzo natoa bure mdogo wangu.
Kwhy umeamua uje utangaze si ulisema utakaa kimyaKuna jamaa yangu anayo 32 na anasema hajawahi
Umebakisha miaka 4 tu nguvu za kiume kwisha habari zake ...mpumbavu atasema siyo kweli mbona watu wa kale walikaa miaka mingi bila ya sex na nguvu zilikuwepo ....dhama za tekinolojia na nishati ya umeme ni tofauti na zama za kale ambapo kulikuwa hakuna TV wala simu hivyo macho hayakuweza kutengeneza njia mbadala za sexWakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Hongera endelea kuogopa utaishi maisha marefuWakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
mi pia mgeni Madame BNaanza na mgeni kwanza, nyie wengine mtanitoa roho
Acha Hizo msaidie mwenzio wewe acha uchoyoDuuh! Hivyo lengo la uzi wako ni nini?