Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Hakuna shida yoyote,mi nilianza nikiwa, na, 27! Siku ya, kwanza, nilienda kavu kavu, angekuwa na ngoma,ningekwisha, we bado kijana, Sana, achana na, hsyo Mambo, unless unataka, kuoa,piga kazi, cheza ball, nenda gym, ikibidi tafuta ka dem kazuuri, usiende kwa wanaojiuza, ila be careful kuna ngoma, na maginjwa kibao
 
Miaka 22 mkuu hujagegeda alooo. Ungesema makuzi yako na maisha unayo ishi tungejua tatizo. Maana mm kwenye umri huo nilikua nishakula hadi ma baa medi yani, umalaya huu[emoji23]
[emoji23][emoji23] wengine hadi miaka 17 tushajua machimbo yote ya papuchi enzi hizo buku 3000 enzi hizo hatujui badoo na telegram na exotic Tz
 
Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Umebakisha miaka 4 tu nguvu za kiume kwisha habari zake ...mpumbavu atasema siyo kweli mbona watu wa kale walikaa miaka mingi bila ya sex na nguvu zilikuwepo ....dhama za tekinolojia na nishati ya umeme ni tofauti na zama za kale ambapo kulikuwa hakuna TV wala simu hivyo macho hayakuweza kutengeneza njia mbadala za sex
 
Back
Top Bottom