The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Kama nilivojieleza hapo juu mm kijana mwanamme miaka 27 bado nipo kwa dada nakula na kulala sina kazi sina lolote
Ndio mkuu nipo nakula na kulala tuAti nini???🤔
kama ni dagaa kwa udaga kaa tu usijali ila kama unakula mikuku kuku ya watu pizza na mabaga baga BEWARE OF SHEMEJI yako kuna kitu atakuomba na weweNdio mkuu nipo nakula na kulala tu
Kumbuka kuna tofauti kati ya kuishi kwa baba na kwa dada. Huko kwa dada kuna lishemeji akizubaa hata rinda lipo hatariniHata Yesu aliishi katika boma la baba yake mpaka alipofikisha miaka 30.
Aliendelea kuinjilisha huku akimsaidia baba yake kuranda mbao.
Baadaye akatwaliwa akaenda mbinguni kuketi mkono wa kuume wa BABA YAKE.
Mpaka leo yesu anaishi kwa baba yake.
Je, wewe ni nani hata usiishi kwa dada yako?
Kamata na kabinti ka jirani hapo ukahamishie mje muishi hapo dada hana nenoKama nilivojieleza hapo juu mm kijana mwanamme miaka 27 bado nipo kwa dada nakula na kulala sina kazi sina lolote
27 kweli kama huna michongo sa utafanyaje hata ukiwa 40? 😂😂Miaka 27 mdogo , mimi nado nilikua nakula kwa mama kabisa bwashee
Nalewa bro27 kweli kama huna michongo sa utafanyaje hata ukiwa 40? 😂😂
BOra kulewa tuNalewa bro