Nina miaka 27 bado nakula na kulala kwa dada, naombeni ushauri

kwadada noma tupu,
jamaa alienda kupiga housegirl wakapotea siku mbili.
anarudi dada anauliza kutetea ndoa yake Akala makofi ya kutosha ,mi nagombelezea nikajumuishwa.
toka hapo nikasema sifikii Tena kwa watu.
nikatambaa nikawaacha nilipita njia tu
Matokeo huyo mkewe alikuja kuwa Malaya wa kutupwa,yaani alikua analiwa tu popote na yeyote,
na ilikua chombo haswa,mzigo wa kutosha jeupeee
housegirl sasa sura ya babaake ila nae furushi si haba.
akatimuliwa
Jamaa alilia na kupiga magoti amrudishe kwenye reli mkewe hamna.
familia ikaaparaganyika kabisa
mpaka Leo wapo wapo tu,
watoto Wana miaka karibia 30 sasa
 
Mkuu uko seriously kweli 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…