Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pia ndevu nyingi, na pengine ziko rough..kuna uwezekano asilimia 99% wewe ni mnene kupita kiasi.
Tafuta pesa, kula vizuri vaa smart, jipende kama una kipara tafuta style ya nywele itakakayokupendeza, vaa miwani, jiweke kimazoezi punguza kuvaa mabwanga na story za kizee achana nazo....Mtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee.
Kuna wazee wamenizidi umri lakini wananiamkia na kunipigia magoti na Mimi nabaki kuwashangaa.Nikijiangalia kwenye kioo naona uumbaji wa Mungu upo sahivi Wala sio mimi sio Mzee kama wao wanavyoniona.
Wengine wananiita Babu.Wengine wanasema nitafute wazee wenzangu niwaoe.Cha ajabu wanashindwa kutambua wao wananiona Mzee ila napiga kazi kama kijana .
Huu ni ugonjwa gani na dawa gani naweza kutumia wataalam maana nimechoka kuitwa na kudhaniwa Mimi ni Mzee wakati Bado Mimi ni Kijana.
Miaka 27, ndio umri umemtupa mkono? Sio kweli. Huyo bado ni kijana mbichi kabisa. Kuwa na mwonekano wa uzee ilhali mtu ni kijana kunachangiwa na mbalimbali yakiwemo ya kiafya na ULOZI. Umri wa ujana unaisha mtu anapofikisha miaka 35. Baada ya hapo unafuata umri wa utu uzima. Uzee unaanzia miaka 60. Ndiyo maana hata serikali imeweka umri wa kustaafu kwa lazima kuwa ni miaka 60.Kibali umri umekutupa mkono jomba
Dah ...Unavuta sigara? unakunywa vikali? unajichukulia sheria mkononi? una pesa za ndagu? au wewe ni mzee kweli?
Au unakunywa sana visunguraMtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee.
Kuna wazee wamenizidi umri lakini wananiamkia na kunipigia magoti na Mimi nabaki kuwashangaa.Nikijiangalia kwenye kioo naona uumbaji wa Mungu upo sahivi Wala sio mimi sio Mzee kama wao wanavyoniona.
Wengine wananiita Babu.Wengine wanasema nitafute wazee wenzangu niwaoe.Cha ajabu wanashindwa kutambua wao wananiona Mzee ila napiga kazi kama kijana .
Huu ni ugonjwa gani na dawa gani naweza kutumia wataalam maana nimechoka kuitwa na kudhaniwa Mimi ni Mzee wakati Bado Mimi ni Kijana.
Unene unachangia kuwa kama mzee mkuu?kuna uwezekano asilimia 99% wewe ni mnene kupita kiasi.
Huo si ugonjwa ndugu,hata mi nakaribua fifty, lkn wanaonizidi hata miaka 20,wananiamkia,wengine wa mama wakubwa,hadi sometime natamani niwatokee!!!,,lkn mhimu we hakikisha hauchakai hasa kimavazi,ngozi isipauke,zaidi ya hapo waache waongee wala usiwe na wasi.Mtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee.